Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Kadenge na mpira, Moses Nseleko, Jela Mtagwa, Mohamed Chuma,
 
Gibson Sembuli, Abas Dilinga, Ledga Tenga, Mohamed Kanjole, Ezekiel Greyson Jujuman.
 
Paul Scholes
 
Kumbe ndo anayezungumziwa.
No comment, wacha niende🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Mkuu kwanini Fernando Redondo haimbwi sana na wanazi wa Real Madrid licha ya mchango mkubwa aliutoa kipindi alichocheza? Na mashabiki maandazi wengi wa Madrid wa kizazi cha sasa hasa hapa Bongo nina uhakika hawamjui huyo mtu.
Redondo akichezea na Raul Gonzales, hiero, r. Carlos, ikar casilas upande wa Real Madrid v man united mchezo ukifanyika old trafford wakiwemo beckham, giggs , roy kean , jaap Stam, p. Schmichel nk . Real Madrid 3-2 Man U . Man of the match redondo kama Nipo sasahihi . CL ilikuwa juu kipindi hicho
 

Umeandika nini mkuu?
 
Umeandika nini mkuu?
Unaikumbuka hio mechi ? Mimi naikumbuka ilijaa ufundi redondo unayemsema akichangia ufundi mwingi kwenye kiungo.
Ni kiungo bora ambaye hakuwika sana kwenye timu yake ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…