Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paul ScholesLEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba pengo lake licha ya uwepo wa Messi na Ronaldo, wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.
Je wewe ukiwa kama shabiki na mpenzi wa soka, kama siku zingerudi nyuma ni Mchezaji gani wa soka aliyestafu ungetamani umuone akisakata tena kabumbu?
Hahahaaaa Kifutu!NDiefi
Hata mimi nimemtaja huyu huyu.Aisee yaani hiki chuma ndo kilikuwa engine ya timu.Paul Scholes
Namiss sana zile pasi zake za mita 70 bila kukosea, na uwezo wake mkubwa wa kupiga mashuti nje ya 18 ya timu pinzani.
Redondo akichezea na Raul Gonzales, hiero, r. Carlos, ikar casilas upande wa Real Madrid v man united mchezo ukifanyika old trafford wakiwemo beckham, giggs , roy kean , jaap Stam, p. Schmichel nk . Real Madrid 3-2 Man U . Man of the match redondo kama Nipo sasahihi . CL ilikuwa juu kipindi hichoMkuu kwanini Fernando Redondo haimbwi sana na wanazi wa Real Madrid licha ya mchango mkubwa aliutoa kipindi alichocheza? Na mashabiki maandazi wengi wa Madrid wa kizazi cha sasa hasa hapa Bongo nina uhakika hawamjui huyo mtu.
Redondo akichezea na Raul Gonzales, hiero, r. Carlos, ikar casilas upande wa Real Madrid v man united mchezo ukifanyika old trafford wakiwemo beckham, giggs , roy kean , jaap Stam, p. Schmichel nk . Real Madrid 3-2 Man U . Man of the match redondo kama Nipo sasahihi . CL ilikuwa juu kipindi hicho
Nasikia baada ya kuwafunga England lile goli hawakumtaka tena.Gaucho aisee sijui kwanin alituchomolea man utd na kwenda Barcelona kipindi anacheza psg
Unaikumbuka hio mechi ? Mimi naikumbuka ilijaa ufundi redondo unayemsema akichangia ufundi mwingi kwenye kiungo.Umeandika nini mkuu?