Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

LEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.

Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba pengo lake licha ya uwepo wa Messi na Ronaldo, wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.

Je wewe ukiwa kama shabiki na mpenzi wa soka, kama siku zingerudi nyuma ni Mchezaji gani wa soka aliyestafu ungetamani umuone akisakata tena kabumbu?
Dah natamani warudi wote na ubora wao tuone akina messi wakikaa benchi kumngojea gaucho dk za lala salama,
 
The last and the only true prophet of football, Ronaldinho, pia ilikuwa furaha sana kuona ule ukuta wa chuma wa Italia, Zambrota, Nesta na Maldin
 
055f54b913951a79c8f95a8a160ba986.jpg
 
Alvaro Recoba (dead ball specialist)
Karel Porbosky
Jaroslav Plasil
Angelos Charisteas
pedro Saviola
Dario Silva(uruguay)
Carlos Valderama(colombia)
 
Alvaro Recoba (dead ball specialist)
Karel Porbosky
Jaroslav Plasil
Angelos Charisteas
pedro Saviola
Dario Silva(uruguay)
Carlos Valderama(colombia)
Bila Ya kumsahau Fundi.. Allesandro delpiero na fabio grosso..(hawa ndo walowapa ushindi italy kombe la dunia 2006 wakishirikiana na Marco Matterazi.. Andrea pirlo na Fabio cannavaro
 
Back
Top Bottom