Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao.
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama anajitahidi. Nadhani Aucho akiwa kwenye ubora wake, uwezo wa chama utaonekana.Hahaha. Leo Chama yupo kwenye wachezaji bora wa Yanga? Maisha yapo kasi mno.
Ni kweli lakini.Chama anajitahidi. Nadhani Aucho akiwa kwenye ubora wake, uwezo wa chama utaonekana.
Aina ya uchezaji wa Chama uhitaji mtu kama Aucho awe fit.Ni kweli lakini.
Duh jamnani hata hakujapambazuka?😂Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao.
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
Huyo namba 1 aliatia nuksi Simba akaondoka...atatia nuksi hapo kwenu ataondoka...Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao.
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
Nyie wanyakyusa team lenu Ken gold linashika mkia hukoHuyo namba 1 aliatia nuksi Simba akaondoka...atatia nuksi hapo kwenu ataondoka...
Ndicho kilichomtoa kwao kumleta Tanzania🚮
🤣🤣🤣🤣Nimebadili kabila jamani🙌Nyie wanyakyusa team lenu Ken gold linashika mkia huko
Hakuna kukimbia hapa uzeni mchele saidieni timu lenu🤣🤣🤣🤣Nimebadili kabila jamani🙌
🤣🤣🤣🤣Tulia wewee🤒Hakuna kukimbia hapa uzeni mchele saidieni timu lenu
Inasikitisha. Ngoja niangalie wanavyolia wakihojiwa na online TV.Mbona mapema sana? Vumilieni dawa iwaingie. Furaha na huzuni ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Nyie mnataka kufurahi tu kila siku?