Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha madharau 😀😀😀Alafu wakishaachwa utatoa Milioni ngapi ili wasajiliwe wengine ? Au wewe kazi yako ni kuweka tu Tako lako kwenye sofa na kutoa Lawama za hapa na pale.
OKW BOBAN SUNZU Scars Tate Mkuu joseph1989 DR Mambo Jambo Tsh uranKwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao.
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
Hapa wamefungwa mechi mbili, zikifika nne mfululizo watataka wizara ya michezo ifutwe.
Ali Kamwe kasema hakuna wa kuifunga yànga labda wàje malaika, malaika wàmekuja wàmeifunga. Sàsa Wachezaji Wana kosa gani?Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao.
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
Imeingia pahala pake sio! Poleni wanayanga
Kwa Mpumelelo bado nasimama na Tate Mkuu kuwa tuzidi kumpa muda ni mapema sana kumlaumu
Hivi Kibabage tofauti na kupokea mpira, kuupoza na kuurudisha kupiga pasi ya nyuma kipi kingine anaweza kufanyaKwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao.
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
Wanamihemko hao unataka ushinde kila siku ligi ya kwako.Hapa tumejifunza tu kwanza Bacca na Job ni moja ya mihimili na pili overconfidence, hatukuwaheshimu Tabora.
Azizi ki na Baleke wanatakiwa wafanyie kazi mapungufu yaoKwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao.
1. Baleke
2. Dube
3. Diarra
4. Aziz Ki
5. Nkane
I love you and Simba sc 😍Ahahaahhahahha huku kwetu ni rahaaa mnoooo
Hapa wamefungwa mechi mbili, zikifika nne mfululizo watataka wizara ya michezo ifutwe.
Interlacustrine RYanga kapakatwa
Yanga kanyolewa
Yanga kakanyagwa
Yanga kaliwa
Yanga kaukalia
Yanga kabanduliwa
Yanga kashikishwa ukuta
Yanga kapigwa katerero
Uzuri tuliwaambia yanga mapema haina mabega hata bila mate haikwami kwami wakesema ooh tutaizuia na mkono.
Chikoooooooooooola............!!!
Its Pancha not Pancho.Hujui soka kalale
Sisi ndiyo Simba SC AKA;