Mchezaji gani unamkubali kwenye kupiga penati?

Penati za LAWAMA Zina watu wake..pale United alikuwepo skozi...pale Chelsea alikuwepo lampard..
 
Lauren etame Mayer hajawahi kukosa Arsenal tunamjua Sana alivyokua anapiga penalties na Cameroon pia
 
Penati za LAWAMA Zina watu wake..pale United alikuwepo skozi...pale Chelsea alikuwepo lampard..

Scholes wala hakuwahi kuwa mpiga penati chaguo la kwanza, penati ikitokea ndani ya dk 90 za mchezo basi angeweza kupiga Rooney, Giggs, na wengineo lakini sio Paul Scholes
 
Nyoni ameshsawahi kukosa mara mbili,moja akiwa Stars nyingine Simba. Ambaye sijawahi ona akikosa ni Aggrey Morris wa Azam.
Naomba nikumbushe, sijawahi shuhudia nyoni kukosa penalt haswa simba maana ndio naifuatilia, na nimeifuatilia tokea kipindi cha kina madalaka. Sasa sijajua labda hiyo mechi ilinipita.
 
Kelvin Yondani Cotton Juice

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 
Bruno Fernandez
Agrey Morris
Gigs
RvP
Baloteli
CR7
 
Jorginho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…