Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi tu hapa amekosa penalty 2 kwenye match mojaRamos
Hapo sawaAndrea Pirlo
Dah nimefurahi kusikia unapenda mpira wadada mpo wachache mnaofuatilia mpira kindaki ndakiUnanchukuliaje kwan? Afu kabumbu naijua kuliko inavojijua yenyewe,
Unadhan sifatilii mpira? Poleeeeeh
Penati za LAWAMA Zina watu wake..pale United alikuwepo skozi...pale Chelsea alikuwepo lampard..
Naomba nikumbushe, sijawahi shuhudia nyoni kukosa penalt haswa simba maana ndio naifuatilia, na nimeifuatilia tokea kipindi cha kina madalaka. Sasa sijajua labda hiyo mechi ilinipita.Nyoni ameshsawahi kukosa mara mbili,moja akiwa Stars nyingine Simba. Ambaye sijawahi ona akikosa ni Aggrey Morris wa Azam.
Kabisaaa tupo wafia kabumbu had tuna bet.Dah nimefurahi kusikia unapenda mpira wadada mpo wachache mnaofuatilia mpira kindaki ndaki
Kelvin Yondani Cotton Juice
JorginhoJioni moja ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, Simba Vs FC Platnum, mechi ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika, matokeo yakiwa ni 0-0 Simba wanafanikiwa kupata penati, wachezaji wa Platnum wanashinikiza kugomea mechi lakini baadae wanakubali kurejea uwanjani, wanajaribu kumgasi mpigaji wa penati ili kumuondoa mchezoni na lengo likiwa akose penati ile.
Lakini katika utulivu wa hali ya juu, Erasto Edward Nyoni anafunga penati ile na kuwarudisha Simba mchezoni na hatimaye kufuzu hatua ya makundi.
Ni wachezaji wachache sana wenye utulivu mkubwa linapokuja swala la kupiga penati hasa penati ya maamuzi au penati muhimu.
Mchezaji gani unaamini ni bora sana kwenye upigaji wa penati?
Karibuni...