Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Mimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee.
Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana
Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana