Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimebahatika kumuona Marehemu Hamis Thobias Gaga, alikuwa mchezaji mzuri hasa middlefied ya juu, lkn Gaga alikuwa akikumbana na Roster Ndunguru vurugu zilikuwa haziishi, Gaga hakumweza kabisa Athuman China wakati wa Simba na Yanga