Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Bisha tu much knowSawa mjuaji
Charles Boniface MkwasaMimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee.
Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana
Na DejanMbwembwe zote bila Bocco,Ngasa,Mgosi na samata orodha yako ni fake
Dicson Sembuli.
Kwa mujibu wa mziray Gaga alikua fundi, control nyingi sambamba na kizotaBattle la Hamis Tobias Gaga (Simba) na Athumani Abdalah China (Yanga) ndio lilikua Lina pamba Magazeti, Kabla na baada ya Mechi.
Ila wote baadae walizichezea Simba na Yanga Kwa nyakati tofauti.