Mchezaji Jonathan Sowah wa Medeama apewa feni kama zawadi ya mchezaji bora wa mechi(MVP)

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem

Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama

Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan Sowah mnamo dakika ya 74,na Kisha Ebenezer Nkhrumah kuipatia Medeama goli la ushindi mnamo dakika ya 84

Na hivyo mpira kuisha Kwa ushindi wa 2-1 Kwa Medeama

Chakufurahisha ni kuwa bwana Sowah alifanikiwa kuwa Man of the Match na kukabidhiwa feni kama zawadi

Zawadi ya feni kweli,duh

Hawakuona zawadi bora zaidi ya hii kweli!?

Tena timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika!?


Acha waje bongo waone mpira unavyopigwa ndo wajifunze


 
Hiyo ndiyo maana ya zawadi mkuu, watu wanapoonyesha appreciations zao.
Ndiyo maana mchezaji akifunga hattrick hazawadiwi nyumba au gari, just mpira.
 
Hiyo ndiyo maana ya zawadi mkuu, watu wanapoonyesha appreciations zao.
Ndiyo maana mcahezaji akifunga hattrick hazawadi nyumba au gari, just mpira.
Aaaaha,sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…