Mchezaji Jonathan Sowah wa Medeama apewa feni kama zawadi ya mchezaji bora wa mechi(MVP)

Mchezaji Jonathan Sowah wa Medeama apewa feni kama zawadi ya mchezaji bora wa mechi(MVP)

Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem

Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama

Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan Sowah mnamo dakika ya 74,na Kisha Ebenezer Nkhrumah kuipatia Medeama goli la ushindi mnamo dakika ya 84

Na hivyo mpira kuisha Kwa ushindi wa 2-1 Kwa Medeama

Chakufurahisha ni kuwa bwana Sowah alifanikiwa kuwa Man of the Match na kukabidhiwa feni kama zawadi

Zawadi ya feni kweli,duh

Hawakuona zawadi bora zaidi ya hii kweli!?

Tena timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika!?


Acha waje bongo waone mpira unavyopigwa ndo wajifunze


View attachment 2776744
Wako sahih kbsa Ni Huku Tanzania tu ndio tinajifanya tuna pesa za kuwapa watu hvyo hovyo Safi tff ya ghna hkn kugawa kagawa pesa hovyo
 
Tshs 280,000 ambayo ni sawa na bei ya perfume wanayopewa Man of the match huko EPL kipindi cha misimu mitatu huko nyuma Uingereza. Siyo mbaya.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom