GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tukisema kuna 'njaa' mnakasirika na kununa.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukisema kuna ' Njaa ' mnakasirika na kununa.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019 Ukurasa wa 21
Mchezaji 'mahari' ndio mchezaji wa namna gani?Tukisema kuna ' Njaa ' mnakasirika na kununa.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019 Ukurasa wa 21
Pita Jangwani Ujionee Mwenyewe Lile Jengo Lao, Kile Kifusi Walichokusanya Mitaani Kinavyozuia Maji Yasipite Kwenye Mitaro. Hawa Jamaa Basi Lakini Wapo Kwenye Wakati Mgumu,
Yanga Bariidii Haina Mvuto!!!!
Jamaa Waliyemkodi Toka Clouds Amekosa Cha Kuwaambia Watu Wao
Mchezaji 'mahari' ndio mchezaji wa namna gani?
Wapi hakuna njaa?
Yanga ni timu ambayo inapoenda mkoani kucheza mechi inategemea wanachama wa huo mkoa wachangishane ndo wachezaji wanakula.
HahahahaMpaka umejibu na huu Uzi Watu wanauchangia ina maana kuwa umenielewa. Ungekuwa na Akili timamu wala usingeshangaa Kosa la Kiherufi dogo tu kama hilo la kuandika ' Mahari ' badala ya ' Mahiri ' kwani hata Kiuandishi makosa kama haya Kibinadamu yanajulikana.
Rejea katika Hoja husika kuwa Mchezaji Mahiri na Muhimu tena Mwandamizi kabisa wa Yanga SC Beki Kelvin Yondan amekosa Mazoezi kisa amekosa ' Chai ' huku Vitafunwa vyote vikimalizwa na Kocha Zahera na Mshambuliaji Molinga.
Yanga ni timu ambayo inapoenda mkoani kucheza mechi inategemea wanachama wa huo mkoa wachangishane ndo wachezaji wanakula.
Wewe mrundi kwenu ndio kuna njaa sio hapa kwetu achana na habari za TanzaniaTukisema kuna 'njaa' mnakasirika na kununa.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
Pita Jangwani ujionee mwenyewe lile jengo lao. Kile kifusi walichokusanya mitaani kinavyozuia maji yasipite kwenye mitaro. Hawa jamaa basi lakini wapo kwenye wakati mgumu.
Yanga bariidii haina mvuto!
Jamaa waliyemkodi toka Clouds amekosa cha kuwaambia watu wao.
Huu hapaMapopoma yamejaa kwenye uzi huu.Kwanza kama wewe mwanaume kamili leta uthibitisho usio na shaka kuwa Yondani alikosa mazoezi kwa sababu ulizotajaMi huwa nashangaa sana Humu jamvini kuna wanasimba wa2 tu ndo angalau naona wanaupeo mkubwa.Lakin Mengine yote huwa mapopoma yanaandika pumba tu.Sasa huwa najiuliza laana ya mzee Rage aliyowaachia inawaachia lini ninyi wanawake wa Mo?