Mchezaji mahiri na muhimu Yanga SC Kelvin Yondan akosa mazoezi kisa 'chai' huko mkoani Mwanza

Huwa nikisema kuwa huko Yanga SC kuna ' Njaa Kali ' tena kuliko hata Wanachama na Mashabiki wake wanavyoaminishwa kuna Watu huniona GENTAMYCINE nasema Uwongo au Nazusha tu na nina Chuki na Yanga SC. Sasa nawaomba na leo wale wana Yanga SC waliojazana hapa JamiiForums waje waibishie na hii taarifa iliyotolewa na hili Gazeti la Mtanzania ambalo tena kwa Kuwasadia tu ni kwamba Mwandishi wa hiyo Habari pamoja na Mhariri wake ni wana Yanga SC watupu ila wameamua kuweka kando ' Unafiki ' wao na Kueleza ukweli.

Kama Mchezaji muhimu na Mwandamizi Kelvin Yondan anakosa Mazoezi kwasababu tu ya ' Chai ' vipi kwa Wachezaji wengine ' Wachanga ' kama akina Abdallah Makame na Paul Godfrey?
Mimi sina timulakini nashangaa inakuwaje mwenye njaa anakipiga kimataifa na matajiri wanazurura tu humu inchini!
 
Mpaka umejibu na huu Uzi Watu wanauchangia ina maana kuwa umenielewa. Ungekuwa na Akili timamu wala usingeshangaa Kosa la Kiherufi dogo tu kama hilo la kuandika ' Mahari ' badala ya ' Mahiri ' kwani hata Kiuandishi makosa kama haya Kibinadamu yanajulikana.

Rejea katika Hoja husika kuwa Mchezaji Mahiri na Muhimu tena Mwandamizi kabisa wa Yanga SC Beki Kelvin Yondan amekosa Mazoezi kisa amekosa ' Chai ' huku Vitafunwa vyote vikimalizwa na Kocha Zahera na Mshambuliaji Molinga.
Popoma katika ubora wake!
 
Huwa nikisema kuwa huko Yanga SC kuna ' Njaa Kali ' tena kuliko hata Wanachama na Mashabiki wake wanavyoaminishwa kuna Watu huniona GENTAMYCINE nasema Uwongo au Nazusha tu na nina Chuki na Yanga SC. Sasa nawaomba na leo wale wana Yanga SC waliojazana hapa JamiiForums waje waibishie na hii taarifa iliyotolewa na hili Gazeti la Mtanzania ambalo tena kwa Kuwasadia tu ni kwamba Mwandishi wa hiyo Habari pamoja na Mhariri wake ni wana Yanga SC watupu ila wameamua kuweka kando ' Unafiki ' wao na Kueleza ukweli.

Kama Mchezaji muhimu na Mwandamizi Kelvin Yondan anakosa Mazoezi kwasababu tu ya ' Chai ' vipi kwa Wachezaji wengine ' Wachanga ' kama akina Abdallah Makame na Paul Godfrey?
umesoma gazeti au umesikia vichwa vya habari redioni
 
Mimi sina timulakini nashangaa inakuwaje mwenye njaa anakipiga kimataifa na matajiri wanazurura tu humu inchini!

Everton na Leicester ni Matajiri wanazurura uengereza tu lakini Genk ya Kina Samatta inatamba Ulaya na Liverpool! What's your point?
 
umesoma gazeti au umesikia vichwa vya habari redioni

Swali lako umeuliza kama vile uko Chooni sasa ama Unakunya au Unaharisha hivyo nakuomba maliza Kwanza na hiyo Huduma yako ya Kibinadamu uliyonayo na ukimaliza na Kujiona Akili zimekurudi na huna hizi cha Chooni basi karibu tuendelee na huu Mjadala hapa sawa?
 
ukiwa chooni ndo akili hukupotea!?
 
Tukisema kuna 'njaa' mnakasirika na kununa.

Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
wakati huohuo washambuliji wa pyramids FC wakipata breakfast ya nguvu. Tena supu ya pweza, mihogo mibichi, karanga mbichi kutoka songea na vitu vingine kama hivyo. Nasubir Msiba Leo nikazike...
 
Kwanza Mkatoe mgari wenu umekwama kwenye maji Tanga kisa mlikuwa mnaifatilia timu ya wananchi ilipo
 
Back
Top Bottom