Mchezaji mahiri na muhimu Yanga SC Kelvin Yondan akosa mazoezi kisa 'chai' huko mkoani Mwanza

Pita Jangwani ujionee mwenyewe lile jengo lao. Kile kifusi walichokusanya mitaani kinavyozuia maji yasipite kwenye mitaro. Hawa jamaa basi lakini wapo kwenye wakati mgumu.

Yanga bariidii haina mvuto!
Jamaa waliyemkodi toka Clouds amekosa cha kuwaambia watu wao.
 
Tukisema kuna ' Njaa ' mnakasirika na kununa.

Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019 Ukurasa wa 21


Ile timu iachwe tu ijifilie mbali maana siku hizi mlezi wao yule dogo wa makontena ya China (Ridhiwani) hana mpango nao kwa sababu anaona haibu kuwa atazomewa na watu kwa lile sajata la makontena ya China na kulitia taifa hasara.
 

Huwa nikisema kuwa huko Yanga SC kuna ' Njaa Kali ' tena kuliko hata Wanachama na Mashabiki wake wanavyoaminishwa kuna Watu huniona GENTAMYCINE nasema Uwongo au Nazusha tu na nina Chuki na Yanga SC. Sasa nawaomba na leo wale wana Yanga SC waliojazana hapa JamiiForums waje waibishie na hii taarifa iliyotolewa na hili Gazeti la Mtanzania ambalo tena kwa Kuwasadia tu ni kwamba Mwandishi wa hiyo Habari pamoja na Mhariri wake ni wana Yanga SC watupu ila wameamua kuweka kando ' Unafiki ' wao na Kueleza ukweli.

Kama Mchezaji muhimu na Mwandamizi Kelvin Yondan anakosa Mazoezi kwasababu tu ya ' Chai ' vipi kwa Wachezaji wengine ' Wachanga ' kama akina Abdallah Makame na Paul Godfrey?
 
Mchezaji 'mahari' ndio mchezaji wa namna gani?

Mpaka umejibu na huu Uzi Watu wanauchangia ina maana kuwa umenielewa. Ungekuwa na Akili timamu wala usingeshangaa Kosa la Kiherufi dogo tu kama hilo la kuandika ' Mahari ' badala ya ' Mahiri ' kwani hata Kiuandishi makosa kama haya Kibinadamu yanajulikana.

Rejea katika Hoja husika kuwa Mchezaji Mahiri na Muhimu tena Mwandamizi kabisa wa Yanga SC Beki Kelvin Yondan amekosa Mazoezi kisa amekosa ' Chai ' huku Vitafunwa vyote vikimalizwa na Kocha Zahera na Mshambuliaji Molinga.
 
Wapi hakuna njaa?

Yanga Sports Club ambako Mwenyekiti wake ni Msola na Makamu wake ni Mwakalebela. Halafu niwaombe tu wana Yanga SC mliopo hapa Jamvini Malalamiko yenu yapelekeni kwa Gazeti husika la Mtanzania kwani Mimi ni Mjumbe tu nimefikisha hapa Ujumbe muhimu ili wana Simba SC wenzangu tuzidi ' Kuwachekeni ' na ' Kuwadharau ' zaidi kwani Kwetu Msimbazi kwa sasa tunamshukuru Mwenyezi Mungu Msamiati wa neno Njaa au Umasikini haupo.
 
Yanga ni timu ambayo inapoenda mkoani kucheza mechi inategemea wanachama wa huo mkoa wachangishane ndo wachezaji wanakula.

Yaani hata Kumnunulia tu Beki wao ' Tegemezi ' Chai tu ya Jero na Kitafunwa cha Tsh 200/= wameshindwa halafu wanasema wana Pesa. Ngojea Kesho sasa ' awachomeshe ' dhidi ya Waarabu ' Pyramids ' ndiyo watamjua vizuri Kelvin Yondan alivyo na Hasira Kali na Visasi vibaya mno ambayo huwa anaichanganya pia na Bange / Bangi zake za ' Masela ' wake pale Sinza na Kimara.
 
Hahahaha
Kama hali ni hiyo basi kesho tutashuhudia Southamptonization nyingine.
 
Hivi hii timu ipo bongo au sidan, ubao wa chai. Wangeenda na lile ngarangara lao huko mwanza ili lebebe sukari, maji, masufuria,mawe kwa ajili ya mafiga na kuni.
 
Mapopoma yamejaa kwenye uzi huu.Kwanza kama wewe mwanaume kamili leta uthibitisho usio na shaka kuwa Yondani alikosa mazoezi kwa sababu ulizotajaMi huwa nashangaa sana Humu jamvini kuna wanasimba wa2 tu ndo angalau naona wanaupeo mkubwa.Lakin Mengine yote huwa mapopoma yanaandika pumba tu.Sasa huwa najiuliza laana ya mzee Rage aliyowaachia inawaachia lini ninyi wanawake wa Mo?
 
Leta uthibitisho usio na shaka sio mapambio ya MATAGA.
Yanga ni timu ambayo inapoenda mkoani kucheza mechi inategemea wanachama wa huo mkoa wachangishane ndo wachezaji wanakula.
 
Hivi simba ofisi zenu ambazo hata choo hazina utafananisha na Yanga?leta picha za jengo la simba na Yanga tufananishe.Mbona Mo hakanyagi ofisini kwenu pale msimbazi mambo yote anafanyia hotelini au kwenye ofisi yake binafsi.Ivi ushawahi fika msimbazi pale ukaona majengo yanu?

Halafu bila aibu eti unaponda jengo la Yanga.Unakwama wapi bro?
 
Huu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…