fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? Yote ni nini? Kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
Aibu tupu.
Aibu tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha Acha Wivu.eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia mayele asichukue kiatu mwaka huu.
aibu tupu
Kushnei babu jiieti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia mayele asichukue kiatu mwaka huu.
aibu tupu
www.jamiiforums.com
Ndio kombe lenu 😂😂😂Mmekwishaaa...
Mayele alivyokuwa anafunga alikuwa anamzuia nani asichukue kiatu mwaka huu?Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.
Eti Mayele kufunga magoli 16. Yote ya nini? Kumzuia Saido asichukue kiatu mwaka huu?Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
Aibu tupu.
namshangaa anaomba lift Kwa difendaUnawatuhumu jeshi la polisi Kwa rushwa? unaweza thibitisha??