Utopolo wanajifariji...!
Duh....Eti wametolewa Kikanuni...!
Kanuni Zimewashtukiza hawakuzijua...!
Ingekuwa ni Kosa Kubwa Sana Limefanyika Uto Kuchukua Kombe lolote Afrika Kabla Ya Simba..!
Na ilivyo hapa Tz, Jambo Lolote linalohusu Soka Lazima Simba ianze halafu Yanga ifuatie..!
Baadhi ya mambo Ambayo Yanga Wanajaribu kuiga:
1. Kuendesha Timu kwa Mfumo wa Ubia
2. Ujenzi Wa Uwanja Wa Timu(Tayali Simba Wanao huko Boko kwa Maandalizi ya timu imebaki Kuuboresha kwa Majukwaa na Vinginevyo)
3. Wiki ya Simba
4.Kucheza Fainali kombe la CAF
Mwakani msahau kufika huko, hamtapangiwa tena Zalani,Marumo,Bamako,Rivers na Maganda ya ndizi ya Kiarabu Monastir,Africain na USMA wachovu.!