Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Mkuu acha hila. Nakumbuka Andy Cole mwaka 95 ila sikumbuki timu waliyocheza nayo alifunga goli 5 peke yake katika ushindi wa goli 9.
Kwahiyo sio wa kwanza na wala sio ajabu. Tuache negativity kwa kila jambo.
haya magoli alifunga wakati zimebaki mechi ngapi za ligi?je alikuwa anepitwa goli ngapi na anayeongoza kwa magoli?
 
Eti Mayele kufunga magoli 16. Yote ya nini? Kumzuia Saido asichukue kiatu mwaka huu?
Aibu tupu.
Mayele hajawahi kufunga magoli 5 kwa mechi moja,tena wakati zimebaki mechi 2
 
Utopolo wanajifariji...!

Duh....Eti wametolewa Kikanuni...!

Kanuni Zimewashtukiza hawakuzijua...!

Ingekuwa ni Kosa Kubwa Sana Limefanyika Uto Kuchukua Kombe lolote Afrika Kabla Ya Simba..!

Na ilivyo hapa Tz, Jambo Lolote linalohusu Soka Lazima Simba ianze halafu Yanga ifuatie..!
Baadhi ya mambo Ambayo Yanga Wanajaribu kuiga:

1. Kuendesha Timu kwa Mfumo wa Ubia
2. Ujenzi Wa Uwanja Wa Timu(Tayali Simba Wanao huko Boko kwa Maandalizi ya timu imebaki Kuuboresha kwa Majukwaa na Vinginevyo)
3. Wiki ya Simba
4.Kucheza Fainali kombe la CAF

Mwakani msahau kufika huko, hamtapangiwa tena Zalani,Marumo,Bamako,Rivers na Maganda ya ndizi ya Kiarabu Monastir,Africain na USMA wachovu.!
usichanganye mada
 
Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.

View attachment 2648354
Aibu tupu.

Malengo ya simba kila siku yanabadilika, sasa team inataka kuwa mfungaji bora,
Basi waruhusiwe magoli ya team nzima yajumlishwe, waendaliwe dinner na kupongezwa na Job Ndungai, wakodishiwe BM coach ile class ya juu.
 
Back
Top Bottom