Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

 
Mayele is overrated! Hakuna msimu amefikisha goli 17.

Na msimu huu mfungaji bora ni Saido Ntibazonkiza.
Striker wa kigeni kuwahi kuwepo Tanzania ni Medie Kagere tu. Akiwa Simba sc msimu wa kwanza goli 23 msimu uliofuata goli 22 na mpaka anaondoka Simba sc aliishia goli 14.

Misimu mitatu goli 59.💪
 
Utopolo wanajifariji...!

Duh....Eti wametolewa Kikanuni...!

Kanuni Zimewashtukiza hawakuzijua...!

Ingekuwa ni Kosa Kubwa Sana Limefanyika Uto Kuchukua Kombe lolote Afrika Kabla Ya Simba..!

Na ilivyo hapa Tz, Jambo Lolote linalohusu Soka Lazima Simba ianze halafu Yanga ifuatie..!
Baadhi ya mambo Ambayo Yanga Wanajaribu kuiga:

1. Kuendesha Timu kwa Mfumo wa Ubia
2. Ujenzi Wa Uwanja Wa Timu(Tayali Simba Wanao huko Boko kwa Maandalizi ya timu imebaki Kuuboresha kwa Majukwaa na Vinginevyo)
3. Wiki ya Simba
4.Kucheza Fainali kombe la CAF

Mwakani msahau kufika huko, hamtapangiwa tena Zalani,Marumo,Bamako,Rivers na Maganda ya ndizi ya Kiarabu Monastir,Africain na USMA wachovu.!
 
Salenko, June 28, 1994 kwenye World cup alifunga magoli dakika ya 15,41,44,72 na 75 katika ushindi wa 6-1 RUSSIA vs CAMEROON.
Baada mchezo kumalizika tu wakamdaka kwenda kumpima kama hakua ametumia dawa za kuongeza nguvu.
Majibu ya vipimo yalikua NEGATIVE.
N.B. Sihalalishi udunduka uliofanyika kama ulifanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…