CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Tena aibu ya mwaka wakati zimebaki mechi 2 ghafla mtu mmoja anafunga 5?Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.
Sio wivu ni jambo la kushangaza sanaHa ha ha ha ha Acha Wivu.
Nasemaje!!
Na sisi tunapata nafasi ya kuparedi
Saidoo NtibazonkizaAliyafunga nani hayo magoli
Pole kwa wapenzi wa futibolipole yako
the writings are the on wallUnawatuhumu jeshi la polisi Kwa rushwa? unaweza thibitisha??
sio dhambi lakini yafungwe wakati zimebaki mechi 2Mayele alivyokuwa anafunga alikuwa anamzuia nani asichukue kiatu mwaka huu?
Ni dhambi kufunga goli 5?
haya magoli alifunga wakati zimebaki mechi ngapi za ligi?je alikuwa anepitwa goli ngapi na anayeongoza kwa magoli?Mkuu acha hila. Nakumbuka Andy Cole mwaka 95 ila sikumbuki timu waliyocheza nayo alifunga goli 5 peke yake katika ushindi wa goli 9.
Kwahiyo sio wa kwanza na wala sio ajabu. Tuache negativity kwa kila jambo.
Mayele hajawahi kufunga magoli 5 kwa mechi moja,tena wakati zimebaki mechi 2Eti Mayele kufunga magoli 16. Yote ya nini? Kumzuia Saido asichukue kiatu mwaka huu?
Aibu tupu.
usichanganye madaUtopolo wanajifariji...!
Duh....Eti wametolewa Kikanuni...!
Kanuni Zimewashtukiza hawakuzijua...!
Ingekuwa ni Kosa Kubwa Sana Limefanyika Uto Kuchukua Kombe lolote Afrika Kabla Ya Simba..!
Na ilivyo hapa Tz, Jambo Lolote linalohusu Soka Lazima Simba ianze halafu Yanga ifuatie..!
Baadhi ya mambo Ambayo Yanga Wanajaribu kuiga:
1. Kuendesha Timu kwa Mfumo wa Ubia
2. Ujenzi Wa Uwanja Wa Timu(Tayali Simba Wanao huko Boko kwa Maandalizi ya timu imebaki Kuuboresha kwa Majukwaa na Vinginevyo)
3. Wiki ya Simba
4.Kucheza Fainali kombe la CAF
Mwakani msahau kufika huko, hamtapangiwa tena Zalani,Marumo,Bamako,Rivers na Maganda ya ndizi ya Kiarabu Monastir,Africain na USMA wachovu.!
kabisa yaani amepitwa na mtu goli 6 yeye anafunga goli 5 tena kwenye kipindi zimebaki mechi 2Angefunga mayele ingekuwa ni aibu pia??
sio kutuuma ni kushangazaImewauma sana watu wa utopoloni
Kwani kuna idadi na muda maalum wa kufunga magoli? Haijaisha mpaka iishe!mayele hajawahi kufunga magoli 5 kwa mechi moja,tena wakati zimebaki mechi 2
hakuna muda lakini angalia mazingira yaliyopo sasa utajua kuwa hayo ni magoli mchongoKwani kuna idadi na muda maalum wa kufunga magoli? Haijaisha mpaka iishe!
tumevurugwa???Utopolooooo mmevurugwaa hadi baas khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh
Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.
Ohooo Mayele anakutwa 🤣Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.
View attachment 2648354
Aibu tupu.