Mchezaji mmoja kufunga Mabao 5 ni tukio la aibu

Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? yote ni nini?kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu.

View attachment 2648354
Aibu tupu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nyie jamaa hamriziki kabisa? Nyie si mmechukua kombe la medali huko algeria mnataka na kiatu tena cha saidoo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bodi ya ligi walipaswa watoe taarifa sahihi Kwanini mechi hazikuchezwa muda sawa?, Kwamba hawakuhofia upangaji ww matokeo?, Kwamba walijua polisi atafungwa?.

Hii ni aibu sana, sishangai Saido kufunga gori 5 tena kwa timu inayoshuka daraja kilichonishangaza ni ratiba kubadilika!!. Timu yenye malengo hujukita kwenye malengo ya taasisi na ukiona timu ipo busy kwa mchezaji mmoja mmoja basi jua haina muelekeo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nyie jamaa hamriziki kabisa? Nyie si mmechukua kombe la medali huko algeria mnataka na kiatu tena cha saidoo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
acha ulipyoto jibu hoja hiyo kama huna hoja acha kujamba
 
Tutapangiwa Galaxy a.k.a Makilikili
 
Mechi ijayo yanga anacheza na alieshuka daraja tayari, hapo mayele ni kutupia tu dadeki.

kocha atakua anapiga simu dar, vp uko kaweka ngapi huyo, na yeye huku anamwambia kocha wa prisons hebu fanya bwana mdg aongeze hata matatu.
Una wajua Tanzania prison?? Alie kwambia wameshuka daraja nani ? Match ya kujipigia ni ya simba wanao cheza na Costal union hawa ni ndugu lazima Saidi aji pigie tu wata ungana hadi na costal kumpa pass side
 
Hii comment ilipaswa kuwa Uzi
 
Mipango ya kishamba kama hiyo ndio inayorudisha nyuma soka letu. Tunarudi nyuma tena kwa watu wasio wa mpira kupanga mipango ya kishamba sana hii. Tena magoli rahisi sana. Mechi inayofuata wanacheza na coast,dada mtu na dada mdogo. Hapo ndio dada mdogo anaweza akawa anaacha tu wazi bila kujizuia,ili afunge hata ma4.
 
Tuambie Kagere alifunga goli ngapi za penat kati ya hizo 23?

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Una wajua Tanzania prison?? Alie kwambia wameshuka daraja nani ? Match ya kujipigia ni ya simba wanao cheza na Costal union hawa ni ndugu lazima Saidi aji pigie tu wata ungana hadi na costal kumpa pass side
Aloo nimechanganya na polisi aisee .
 
Huyo Saido sio mara ya kwanza kufanya hivyo, kama Polisi walitaka kuiachia Simba wangemuachia basi afunge bao 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…