Mchezaji wa Al Merreickh Auawa

Dahhh! Afrika!! Kuna watu wajinga sana!!

Wanao wapiganisha wamekaa wanawacheka tu... Ni ujinga sana
 
So sad,
Kuna mambwiga wanakuambia Bora vita kisa wameshiba ugali
wamezoea zile vita wanazochezesha kwny Play station

una mlo mmoja na nusu ndio hapo Amani ipo tangu uhuru …mkitibuana hali itakuaje ?

Allah atuepushe na vita na machafuko ya namna yoyote kwa sababu zozote vile
 
Vita ni mbaya ila kwa bahati mbaya sana katika maisha ya mwanadamu kuna wakati vita ni muhimu na lazima.

Usinishambulie mimi, google "just and unjust wars", wabobezi wa mambo wameyaongelea hayo.
kwanini tugugo faida ya vita wakati tunao wa Congo wana vita tangu uhuru, Somalia tangu 1990th, Burundi, Rwanda n.k

tupeni faida ya vita kwa mifano rahisi na ya dhahiri ya majirani zetu

Nchi zote zinazotuzunguka tunakabiliwa na wimbi la watu wa Nchi hizo kupambana wawe wa Tanzania na husikii wimbi la wa Tz kupambana kuwa Nchi za jirani

kama vita inaleta hizo faida za kugugo wee hamia tu kwa jirani ufaidike na hizo faida
 
Sijachochea vita na kwenye haya mazungumzo wala sipo. Kwaheri.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Vita ni mbaya ila kwa bahati mbaya sana katika maisha ya mwanadamu kuna wakati vita ni muhimu na lazima.

Usinishambulie mimi, google "just and unjust wars", wabobezi wa mambo wameyaongelea hayo.
Hana hata haja ya Kugugo. Asome tu Biblia Agano la Kale itampa picha halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…