Mchezaji wa Al Merreickh Auawa

Mchezaji wa Al Merreickh Auawa

cocastic

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
96,456
Reaction score
156,324
Mchezaji wa soka kutoka team ya Al Merreickh ya Sudan aitwae Ahmed Abdelsalam, hapo pichani chini, ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake.

Mchezaji huyo amekutwa na umauti huo kutokana na vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea nchini humo, ambapo pia league imesimama na wachezaji kurejea makwao kwa mapumziko kupisha vita hiyo, huyu mchezaji nilimuona uwanjani pale kwa Mkapa wakicheza na Simba, wakati wa mashindano ya simba Super Cup

Ila jamani vita sio jambo zuri kabisa, na huwa wanaoumia, kuteseka, na hata kufa ni wale wasio na hatia, kijana mdogo aliyekua anapambania career yake, amezimika ghafla km mshumaa.

RIP handsome boy!!! [emoji24][emoji24][emoji24]
FB_IMG_16869943212021483.jpg
 
Mchezaji wa soka kutoka team ya Al Merreickh ya Sudan aitwae Ahmed Abdelsalam, hapo pichani chini, ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake.

Mchezaji huyo amekutwa na umauti huo kutokana na vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea nchini humo, ambapo pia league imesimama na wachezaji kurejea makwao kwa mapumziko kupisha vita hiyo, huyu mchezaji nilimuona uwanjani pale kwa Mkapa wakicheza na Simba, wakati wa mashindano ya simba Super Cup

Ila jamani vita sio jambo zuri kabisa, na huwa wanaoumia, kuteseka, na hata kufa ni wale wasio na hatia, kijana mdogo aliyekua anapambania career yake, amezimika ghafla km mshumaa.

RIP handsome boy!!! [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2660332
RIP handsome boy!!! [emoji24] Pole mjukuu kwa kufiwa! Vp mlikuwa mmeshaanza kuyajenga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushukuru nchi yetu wananchi tumeamua kuwa watulivu na tunapenda kutatua mambo kidiplomasia.
 
To win the battle is not as the same as to win the war
 
Ila jamani vita sio jambo zuri kabisa, na huwa wanaoumia, kuteseka, na hata kufa ni wale wasio na hatia, kijana mdogo aliyekua anapambania career yake, amezimika ghafla km mshumaa.
CC
Bumbuli
Mtama
 
Back
Top Bottom