Mchezaji wa Al Merreickh Auawa

Mchezaji wa Al Merreickh Auawa

Bora nile maharage na dagaa daily kuliko kuombea vita na vurugu zisizo na ulazima #VitaMabayaSana
 
Na huko magharibi mwa Uganda, waasi wameua wanafunzi 40 😳. Nilidhani hizi mambo zilishaishaga.
 
Wanaotaka vita wao waendelee tu, ila mimi sitaki kuisikia kabisa. Maana vita inaweza kusababisha nishindwe kula mbususu kwa raha (wanaokula mbususu kwa raha,tena za bure kabisa ni askari wapiganaji on both sides, ila siyo sisi raia).

Imagine eti nianze kukimbia kimbia hata nikisikia sauti ya popcorn 🍿 zikipasuka nikimbie kama Usain Bolt, shida ya nini hii? Yaani niwakose mademu wangu wa UDSM kwasababu ya bandari? Kama kuchukuliwa ichukuliwe tu. Kwanza wanaofaidi ni mafisadi na wafanyakazi wezi walioko pale, mimi hainisaidii lolote.
 
Imebidi nirudi kwenye I'd ya mwanzisha mada mara baada ya kuona maneno haya"rip handsome boy".
Baada ya kutazama I'd nami naungana nawe kusema rip kijana mpambanaji.
 
Vita mbaya sana, sasa huyu alikoda nn had wamemuua, nimeumia mnoo [emoji24][emoji24][emoji24]
Poleee.. handsome amekuuma sana masikini we waache tu Mungu ameshawaona!.
 
MNAJAZANA UJINGA KWA KUFANANISHA VITA YA SUDAN NA UOGA WA KUDAI HAKI YENU TOKA KWA SISIEMU.

WALAU WAO HAWANYANYASWI NA SEREKALI YAO,NI UKABILA NA MGONGANO WA KIMASLAHI.

NYIE KUTWA KULALAMIKA ILIHALI AMNA HATA UWEZO WAKUAANDAMANA KUDAI BEI YA MKATE KUSHUKA

MSILETE VISINGIZIO ITOENI SISIEMU MADARAKARANI ACHENI UKUNGURU

NONSENSE
 
Itolewe ccm halafu tukiingize chama gan?
 
Wanaotaka vita wao waendelee tu, ila mimi sitaki kuisikia kabisa. Maana vita inaweza kusababisha nishindwe kula mbususu kwa raha (wanaokula mbususu kwa raha,tena za bure kabisa ni askari wapiganaji on both sides, ila siyo sisi raia).

Imagine eti nianze kukimbia kimbia hata nikisikia sauti ya popcorn [emoji897] zikipasuka nikimbie kama Usain Bolt, shida ya nini hii? Yaani niwakose mademu wangu wa UDSM kwasababu ya bandari? Kama kuchukuliwa ichukuliwe tu. Kwanza wanaofaidi ni mafisadi na wafanyakazi wezi walioko pale, mimi hainisaidii lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Imebidi nirudi kwenye I'd ya mwanzisha mada mara baada ya kuona maneno haya"rip handsome boy".
Baada ya kutazama I'd nami naungana nawe kusema rip kijana mpambanaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa
 
So sad,
Kuna mambwiga wanakuambia Bora vita kisa wameshiba ugali
na hapa ndipo watawala wanazidi kuvimbisha matumbo yao.hatupendi vita lakn kwanini nchi yetu?keki ya taifa wale peke yao.tuendelee kukaa kimya kisa tunaogopa vita?
 
Labda uwaulize walio vitani kama wanatamani kula hiyo keki kwenye moto wa risasi na mabomu au ugali dagaa kwenye amani?
Wasomali kila leo wanakufa kwenye makontena kukimbia vita
Warundi wapo katimba huko wamerundikwa kwenye UN camps
Ila tulioshiba ugali tunabwabwaja
Sijui umemfikiria Maza na mzee wako kama wapo hai
Sijui umemfikiria dadaako au mdogo wako wa kike kitakachowapata vita vikiibuka ?
Sidhani kama hua tunawaza kabla ya kuandika au kuongea
 
kwa hyo unataka hata kama nchi inapelekwa ovyo na watawala tukae kimya kisa tunaogopa vita?
 
Back
Top Bottom