uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Nakushauri ungefanya mambo mengine Ronaldo anakuzudi kila kitu! Na ulivyo kichwa box umeamini mchezaji professional anaweza tamka maneno hayo!Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa alnasir baada ya mechi
"kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya alnasir ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema
Ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya"
Tumwombee ronaldo awe mvumilivu anaweza kuzira
Huu ni uongoAlinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya."
Tumwombee Ronaldo awe mvumilivu, anaweza kuzira.
Nasikia Al Nassr wamevunja mkataba Na Vincent Aboubakar, Na hii Ni baada YA kutakiwa kuuza mchezaji mmoja wa kigeni ili Ronaldo aweze kusajiliwa katika ligi.Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya."
Tumwombee Ronaldo awe mvumilivu, anaweza kuzira.
Nasikia Al Nassr wamevunja mkataba Na Vincent Aboubakar, Na hii Ni baada YA kutakiwa kuuza mchezaji mmoja wa kigeni ili Ronaldo aweze kusajiliwa katika ligi.
Nasikia Al Nassr wamevunja mkataba Na Vincent Aboubakar, Na hii Ni baada YA kutakiwa kuuza mchezaji mmoja wa kigeni ili Ronaldo aweze kusajiliwa katika ligi.
Al Nassr terminated Vincent Aboubakar's contract by mutual consent and he received all his financial rights,” the club source said, adding that Ronaldo was registered before Al Nassr's game against Al Ta'ee on Friday
Anatakiwa Na clubs kubwa ulaya Na kwa kiwango alichonacho hastahili kucheza uarabuni huko awaachie kina Ronaldo ambao wameenda kustaafia soka huko maana mpira wa ushindani umeshawashinda.Mbuzi wa kafara
Anatakiwa Na clubs kubwa ulaya Na kwa kiwango alichonacho hastahili kucheza uarabuni huko awaachie kina Ronaldo ambao wameenda kustaafia soka huko maana mpira wa ushindani umeshawashinda.
Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya."
Tumwombee Ronaldo awe mvumilivu, anaweza kuzira.