Mchezaji wa Al Nassr Vicente Abok amemkataa Cristiano Ronaldo na kusema angefurahi zaidi kucheza na Messi

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya."

Tumwombee Ronaldo awe mvumilivu, anaweza kuzira.
 
Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa alnasir baada ya mechi

"kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya alnasir ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema
Ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya"

Tumwombee ronaldo awe mvumilivu anaweza kuzira
Nakushauri ungefanya mambo mengine Ronaldo anakuzudi kila kitu! Na ulivyo kichwa box umeamini mchezaji professional anaweza tamka maneno hayo!
 
Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya."

Tumwombee Ronaldo awe mvumilivu, anaweza kuzira.
Huu ni uongo
 
Nasikia Al Nassr wamevunja mkataba Na Vincent Aboubakar, Na hii Ni baada YA kutakiwa kuuza mchezaji mmoja wa kigeni ili Ronaldo aweze kusajiliwa katika ligi.
 
Al Nassr terminated Vincent Aboubakar's contract by mutual consent and he received all his financial rights,” the club source said, adding that Ronaldo was registered before Al Nassr's game against Al Ta'ee on Friday
 
It is not fair

Mbuzi wa kafara
Anatakiwa Na clubs kubwa ulaya Na kwa kiwango alichonacho hastahili kucheza uarabuni huko awaachie kina Ronaldo ambao wameenda kustaafia soka huko maana mpira wa ushindani umeshawashinda.
 
Ni kweli vicente bado miguu yake ina nguvu aende italy atacheza sana
Anatakiwa Na clubs kubwa ulaya Na kwa kiwango alichonacho hastahili kucheza uarabuni huko awaachie kina Ronaldo ambao wameenda kustaafia soka huko maana mpira wa ushindani umeshawashinda.
 
Angelikua The Goat hata haters wangeufyata....maana wanajua The G.O.A.T ni mmoja tu duniani
 
Alinukuliwa mshambuliaji mwenza wa Al Nassr baada ya mechi, "Kuwa na ronaldo hapa kwenye timu ya Al Nassr ni jambo zuri lakini kama siku zote ninavyosema ningependelea Leon Messi ajiunge nasi kwasababu Messi anaweza kufanya kile ambacho hakuna mchezaji anaweza kufanya."

Tumwombee Ronaldo awe mvumilivu, anaweza kuzira.

Utasema ulikuwepo dressing room
 
Back
Top Bottom