Mchezaji wa Baroka FC Abdi Banda afunga ndoa na dada wa mkali wa Bongo Fleva Alikiba

Ndoa inafungwa asubuhi sanaaaa
Kuna jamaa yangu alioa alfajiri hivyo hivyo akaniambia wameambiwa na wataalam wa nyota kwamba huo muda ndio ndoa itakua na baraka,nadhani na hawa wameambia na warithi wa Sheikh Yahya
 
Naona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
Kwa mtazamo wako uko hvyo ila kwao kuolewa ni jambo kubwa mnoo na La kiheshima sana!haswaa kwa familia za wasanii!!kufurahi lazima
 
Naona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
Stara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........

Kipi kingekufurahisha zaidi!!?

Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
 
Si bora uyo kaolewa kaka zake wamefuahi kujua atakaembandua tena kihalali kabisa
 
Stara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........

Kipi kingekufurahisha zaidi!!?

Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
Exactly mkuu
 
Kwani wanawake wasioolewa wote ni vivuruge?
 
Stara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........

Kipi kingekufurahisha zaidi!!?

Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
Huyu kinachomuuma ni kuwazia jinsi anavyowafanya watoto wa wenzake anaona bora dada ake asiolewe...
 
Nadhani tunayatazama mambo kwenye mrengo tofauti kabisa.....

STARA YA MWANAMKE INAPATIKANA KWENYE NDOA

Sikubaliani na wewe kwamba mwanamke akiolewa ndio kapata mtu wa kumsitiri. Mtu yoyote, mwanamke au mwanaume stara anayo mwenyewe. Wapo ambao wapo kwenye ndoa lakini bado hawajatulia na wengine ambao hawajaoa au kuolewa bado wanajiheshimu. Futa kauli yako kwamba wasioolewa ni vivuruge.
 
Stara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........

Kipi kingekufurahisha zaidi!!?

Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
Ahsantee
 
Sikubaliani na wewe kwamba mwanamke akiolewa ndio kapata mtu wa kumsitiri. Mtu yoyote, mwanamke au mwanaume stara anayo mwenyewe. Wapo ambao wapo kwenye ndoa lakini bado hawajatulia na wengine ambao hawajaoa au kuolewa bado wanajiheshimu. Futa kauli yako kwamba wasioolewa ni vivuruge.
Ndio maana nikasema tunaongelea mambo kwenye mlengo tofauti......

BTW naheshimu mawazo na mtazamo wako!!!!!

Uwe na siku njema!!!
 
Back
Top Bottom