Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Ila mdogo wake Kiba ana sura ya kiume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una fikra za kiboya sana.Naona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
Ila sio mwanaume... kuna wanaume wanaliwa kama wanawake ila ni wanaume sura hadi maumbile.
Dada yako akipata ndoa ni heshima home kwenu.
Okay wait! Hivi unaolewaje na mchezaji mpira?
Inabidi mfunge ndoa kanisani, kwa shehe au serikalini.
Alafu mnaishije akivunjwa mguu huko mpiran na wachezaji jamani ni wachafu bora wa kikapu wana.nafuu
Dizain jamaa hawataki tule pilau wanataka kutulisha maandazi na chaiDuh harusi gani sasa hii
Asubuhi asubuhi alfajiri yote hii na baridi hili?
Hilo jambia halahala mtu anaweza badili mawazoMchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pia aliyewahi kuzichezea Simba SC na Coastal Union ya Tanga Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti 1, 2018 amefunga ndoa na Bi Zabibu Kiba, ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva Ali Kiba kwenye msikiti wa Ahmad Al-Maseeid uliopo Tabata jijini Dar es salaam.View attachment 823966View attachment 823967View attachment 823969View attachment 823968View attachment 823970