Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ndiyo wambea mnakuwa bado mmelala.Ndoa inafungwa asubuhi sanaaaa
Kuna jamaa yangu alioa alfajiri hivyo hivyo akaniambia wameambiwa na wataalam wa nyota kwamba huo muda ndio ndoa itakua na baraka,nadhani na hawa wameambia na warithi wa Sheikh YahyaNdoa inafungwa asubuhi sanaaaa
Kwa mtazamo wako uko hvyo ila kwao kuolewa ni jambo kubwa mnoo na La kiheshima sana!haswaa kwa familia za wasanii!!kufurahi lazimaNaona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
Stara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........Naona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
Si bora uyo kaolewa kaka zake wamefuahi kujua atakaembandua tena kihalali kabisaNaona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
Exactly mkuuStara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........
Kipi kingekufurahisha zaidi!!?
Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
Stara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........
Kipi kingekufurahisha zaidi!!?
Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
Nadhani tunayatazama mambo kwenye mrengo tofauti kabisa.....Kwani wanawake wasioolewa wote ni vivuruge?
Huyu kinachomuuma ni kuwazia jinsi anavyowafanya watoto wa wenzake anaona bora dada ake asiolewe...Stara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........
Kipi kingekufurahisha zaidi!!?
Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
Hahaahahaaaa!!!!...Huyu kinachomuuma ni kuwazia jinsi anavyowafanya watoto wa wenzake anaona bora dada ake asiolewe,usiwe hivyo ndugu,kwani hiyo ni vita..!
Nadhani tunayatazama mambo kwenye mrengo tofauti kabisa.....
STARA YA MWANAMKE INAPATIKANA KWENYE NDOA
AhsanteeStara ya mwanamke ni ndoa....Dada yako akiolewa maana yake kapata mtu wa kumstiri na kukufichia wewe aibu yako!!!..........
Kipi kingekufurahisha zaidi!!?
Dada yako kuwa kivuruge mtaani kwenu na kukufedhehesha au kupata Mtu halali wa kumsitiri...!!?
Ndio maana nikasema tunaongelea mambo kwenye mlengo tofauti......Sikubaliani na wewe kwamba mwanamke akiolewa ndio kapata mtu wa kumsitiri. Mtu yoyote, mwanamke au mwanaume stara anayo mwenyewe. Wapo ambao wapo kwenye ndoa lakini bado hawajatulia na wengine ambao hawajaoa au kuolewa bado wanajiheshimu. Futa kauli yako kwamba wasioolewa ni vivuruge.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu kinachomuuma ni kuwazia jinsi anavyowafanya watoto wa wenzake anaona bora dada ake asiolewe...
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ndio maana nikasema tunaongelea mambo kwenye mlengo tofauti......
BTW naheshimu mawazo na mtazamo wako!!!!!
Uwe na siku njema!!!