Mchezaji wa Chelsea aponda show ya Diamond

Mchezaji wa Chelsea aponda show ya Diamond

Namwelewa dogo,show za bongo fleva magumash tu.unaingia unapigiwa mziki kwenye cd kisha msanii anazuga na mic.ndo mana napenda band live.vyombo vyote vinapigwa wanamuziki unawaona na sebene likichanganya unazama kati mwenyeeewe
hapo chacha.na mimi huwa sikai chini,sebene likichanganya.si taarabu ya mzee yusuph,sebene lake sio rahisi kukaa chuni,au twanga
 
Mi naomba kuuliza tu, kwani Diamond hajakwenda Uingereza kwa ajili ya upigaji picha? maana kama Muziki sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu yupo tayari kupigiwa Muziki wa kwenye CD halafu jinga moja linazuga tu na Mic kuwapumbaza watu na viuno.
 
hapo chacha.na mimi huwa sikai chini,sebene likichanganya.si taarabu ya mzee yusuph,sebene lake sio rahisi kukaa chuni,au twanga
unaendaga pale migomigo na mango nikufate unipe kisukari?
 
muulize karani wake humu JF
Hujambo lakini Mchwechwele nilikuona umepaniki kule kwenye thread ya kina kala pina na chidi

Mi nilikuuliza Chidi mtoto mtamu? Analiwa Kabaang tumtafutie show uarabuni wewe ukanijibu utumbo
 
Back
Top Bottom