hapo chacha.na mimi huwa sikai chini,sebene likichanganya.si taarabu ya mzee yusuph,sebene lake sio rahisi kukaa chuni,au twangaNamwelewa dogo,show za bongo fleva magumash tu.unaingia unapigiwa mziki kwenye cd kisha msanii anazuga na mic.ndo mana napenda band live.vyombo vyote vinapigwa wanamuziki unawaona na sebene likichanganya unazama kati mwenyeeewe