Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yes. Sijui waliobet mechi ikiahirishwa kama hivyo inakuwaje?Mungu ampe uzima, nimeona mpira umehairishwa kwa medical emergency
Aisee. Sijui Simba wanamuenzije Tindwa.Umenikumbusha Hussein Tindwa wa Simba SC nilikuwa Uwanjani siku ile 🐼
PD yaani pannel Decision. Au matokeo ya mezaniYes. Sijui waliobet mechi ikiahirishwa kama hivyo inakuwaje?
Mechi inaondolewa.PD yaani pannel Decision. Au matokeo ya mezani
Imeisha hiyoYes. Sijui waliobet mechi ikiahirishwa kama hivyo inakuwaje?
Ukibeti, mechi kama hiyo odds zake zinashushwa na kuwa 1.00 ambayo ni sawa na hamna kitu.Yes. Sijui waliobet mechi ikiahirishwa kama hivyo inakuwaje?
Kama refa alimaliza mechi baada ya ilo tukio basi mechi itaondolewa kwenye mkeka na ikotokea mechi zilizobaki zote umeshinda basi zile odds za iyo mechi zitagawanywa pale kwenye ile hela ya ushindi inayosoma kwenye mkeka na utapewa kiasi kinachobakiYes. Sijui waliobet mechi ikiahirishwa kama hivyo inakuwaje?
Maelezo ya maafisa ubashiri wabobevu si umeyaona hapo juu?Wanilipe sasa
Ukibeti, mechi kama hiyo odds zake zinashushwa na kuwa 1.00 ambayo ni sawa na hamna kitu.Yes. Sijui waliobet mechi ikiahirishwa kama hivyo inakuwaje?
Majibu ya nyongezaWanilipe sasa
Vijana mmeharibika sana bet itawamalizaUkibeti, mechi kama hiyo odds zake zinashushwa na kuwa 1.00 ambayo ni sawa na hamna kitu.
Hii ina maana kama ulikuwa na odds 100 tutafanya hivi;
100÷1.41 = 70.92.
Kwa hiyo utalipwa kwa zile zilizochezwa tu.
Hiyo iliyoahirishwa kama itacheza ndani ya saa 48, bookie ataushikilia mkeka wako mpaka hiyo mechi ichezwe. Kama hakuna ratiba au ni zaidi ya saa 48, bookie atakulipa pesa yako ndani ya masaa 48 mmalizane kila mtu afe na chake.
Note: Sheria zinatofautiana kati ya bookie na bookie.
Majibu ya nyongezaView attachment 3167021
Ni mtazamo wako, siupingi.Vijana mmeharibika sana bet itawamaliza