Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Pacome ndiyo mchezaji wa kwanza kuvunjika mguu?Dua haitasaidia. Amecheza hovyo sana. Pacome arastaafu mapema kwa lazima. Hata akipatiwa matibabu nje ya nchi bado naona hakuna timu kubwa kwa hapa bongo zitamzingatia sana mama kwanza ataingia woga wa kupamabana kwa nguvu ktk mechi. Aombee mkataba wake uwe wa muda mrefu hapo Yanga