pacome avunjika mguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa JKT aliyemfanyia Faulo mbaya Pacome afika hospital na kumfanyia dua

    Ukisikia wema na uungwana kwenye mpira ni huu. Hongera kwa kuonyesha upendo kwake ===== Mchezaji wa JKT Tanzania FC, Hassan Wahabi (Mwenye kanzu nyeusi), akiongoza dua, kumuombea Mchezaji wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, katika wodi ya Hospitali ya Agakhan, Dar Es salaam alipolazwa, kutokana na...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania JKT Tanzania yatoa pole kufuatia Pacome Zouzoua kuvunjika mguu

    Uongozi wa JKT Tanzania FC umetoa taarifa kwa umma ukieleza kusikitishwa na tukio la kuumia kwa kiungo wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, baada ya kugongana na mchezaji wa JKT Tanzania, Hassan Wahabi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa Juni 30, 2025, katika Uwanja wa Major...
Back
Top Bottom