Unachanganya madawa wale ni Orlando pirates mpira umejua juzi acha ushamba..Hapana
Wanakumbuka moto mliowasha kule s.A mpaka uwanja ukaungua
Sasa vigagula mtakosa kujulikana
Wewe ndio hujui mpira, Orlando Pirates na Kaizer Chiefs ni watani wa jadi kama Simba na Yanga, na timu zote zipo City of Johannesburg, kwahiyo ule upuuzi mlioufanya kwa Orlando Kaizer Chief walikuwa wana angalia live.Unachanganya madawa wale ni Orlando pirates mpira umejua juzi acha ushamba..
Sina muda wa kubishana na wewe nipo hapa Rosettenville 11 street nisiijue Soweto Derby kabishane na madunduka wenzio..Wewe ndio hujui mpira, Orlando Pirates na Kaizer Chiefs ni watani wa jadi kama Simba na Yanga, na timu zote zipo City of Johannesburg, kwahiyo ule upuuzi mlioufanya kwa Orlando Kaizer Chief walikuwa wana angalia live.
Ni kama nyinyi Makolo mechi ya kesho ya Yanga na Chiefs mtaifuatilia, tofauti tu nyinyi mtataka mushangilie Chiefs kama watafanikiwa kupata goli.
Yah, nimesikiliza video clip, nimeelewa kuwa Yanga ndiyo "utopolo" na nimeelewa hiyo "utopolo" imeanzia wapi, kuna anaefahamu maana yake?Jina la utopolo lilianzia hapa
Video: Mashabiki wa YANGA ‘MACHOZI Yataka Kuwatoka’
KOCHA mpya wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji, ameanza kazi kwa kichapo baada ya jana kushuhudia timu yake ikifungwa mabao 3-0 na Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar.globalpublishers.co.tz
Sasa wewe kuwepo Rosettenville sisi inatusaidia nini labda kwa mfano?Sina muda wa kubishana na wewe nipo hapa Rosettenville 11 street nisiijue Soweto Derby kabishane na madunduka wenzio..
Utopolo ni Yanga gongowazi"utopolo" ndiyo nani kati yao? Na kwanini wakaitwa hivyo?
Mimi nafahamu Simba zamani walikuwa Sunderland na Abidjan Ivory Coast. Yanga walikuwa Kuala Lumpur (kwala lumpa)na kanda mbili.
Haya majina mapya siyafaham. Nifahamisheni nisije nikakosea.
Sema tu hakupenda kumalizia mpaka mwisho, ya kwamba anawafahamu zaidi simba kwa vitendo vyao vya kishirikina vya kuchoma moto uwanjani.".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."
Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Mwananchi.
Majitu majinga...ni majinga tu...ww ni mjinga kweli kweliSimba ni miongoni mwa timu zitakazoshiriki Africa league, ni timu namba 7 Bora Africa kwenye fainali ya club bingwa kati ya Wydad na mabingwa wa Africa timu ya misri Simba walitajwa mara nyingi zaidi pamoja na kuwa hawakucheza.
Hivyo hakuna timu Africa zisizoijua Simba ndio maana utopolo wamekuwa wakijitahidi kupokea wapinzani wa Simba wanapokuja kucheza na Simba ili wajibrand matokeo yake wanaachwa kwenye mataa.
Ila Kwa FIFA yanga wanajulikana zaidi kuliko Simba kutokana na kuwa na kesi nyingi za madai na madeni ya wachezaji na makocha wanaovunjiana nao mikataba.
Aliyehojiwa hajatoa sababu ya moto ye katoa sababu ya kuchapwa tatu, subiri ukiulizwa wewe ndipo ujibu ya motoUta achaje kujulikana ulienda kuwasha moto kwenye nchi yao almanusura nchi iingie kwenye janga la kama sio zimamoto kufanya kazi yao leo ingekua story nyingine
Alafu wanajiita club kubwa, teh teh".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."
Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Mwananchi.
hoja yako ni ipi kama imekuuma kakojoe ukalaleMajitu majinga...ni majinga tu...ww ni mjinga kweli kweli
Sawa dadaAliyehojiwa hajatoa sababu ya moto ye katoa sababu ya kuchapwa tatu, subiri ukiulizwa wewe ndipo ujibu ya moto
Mwishoni nani alitolewa?😆😆
Acha tu akumbuke ule moto waliopelekewa ile siku siyo poa,walikuwa wanaomba mpira uishe..
Kwahiyo mwisho wake nani alifurushwa?Acha waseme wao. Tukisema sisi Uto wananuna.
Acha waliowaalika wawaambie Ukubwa wa Mnyama.
kwa matokeo hayo nani alitolewa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UTO NI WAMATOPENI WANAJULIKANA HUKO KIDIMBWI TU
Kwanini simba waliwasha moto?Unachanganya madawa wale ni Orlando pirates mpira umejua juzi acha ushamba..
Kilichokushanga pale kipi upande unaotokea wenye matumizi mazuri ya ubongo wawili tu siyo kosa lako maskini!!
Ukubwa wa club huwa unapimwa na niniAlafu wanajiita club kubwa, teh teh
Ile siku tulifelishwa na ujinga wa Mugalu..![emoji38][emoji38]
Acha tu akumbuke ule moto waliopelekewa ile siku siyo poa,walikuwa wanaomba mpira uishe..