Mchezaji wa Kaizer Chiefs: Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge

Hapana
Wanakumbuka moto mliowasha kule s.A mpaka uwanja ukaungua
Sasa vigagula mtakosa kujulikana
Unachanganya madawa wale ni Orlando pirates mpira umejua juzi acha ushamba..
Kilichokushanga pale kipi upande unaotokea wenye matumizi mazuri ya ubongo wawili tu siyo kosa lako maskini!!
 
Wewe ndio hujui mpira, Orlando Pirates na Kaizer Chiefs ni watani wa jadi kama Simba na Yanga, na timu zote zipo City of Johannesburg, kwahiyo ule upuuzi mlioufanya kwa Orlando Kaizer Chief walikuwa wana angalia live.

Ni kama nyinyi Makolo mechi ya kesho ya Yanga na Chiefs mtaifuatilia, tofauti tu nyinyi mtataka mushangilie Chiefs kama watafanikiwa kupata goli.
 
Sina muda wa kubishana na wewe nipo hapa Rosettenville 11 street nisiijue Soweto Derby kabishane na madunduka wenzio..
 
Jina la utopolo lilianzia hapa

Yah, nimesikiliza video clip, nimeelewa kuwa Yanga ndiyo "utopolo" na nimeelewa hiyo "utopolo" imeanzia wapi, kuna anaefahamu maana yake?

Na Simba wanaitwaje?
 
"utopolo" ndiyo nani kati yao? Na kwanini wakaitwa hivyo?

Mimi nafahamu Simba zamani walikuwa Sunderland na Abidjan Ivory Coast. Yanga walikuwa Kuala Lumpur (kwala lumpa)na kanda mbili.

Haya majina mapya siyafaham. Nifahamisheni nisije nikakosea.
Utopolo ni Yanga gongowazi
 
".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."

Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Mwananchi.
Sema tu hakupenda kumalizia mpaka mwisho, ya kwamba anawafahamu zaidi simba kwa vitendo vyao vya kishirikina vya kuchoma moto uwanjani.
 
Simba ni miongoni mwa timu zitakazoshiriki Africa league, ni timu namba 7 Bora Africa kwenye fainali ya club bingwa kati ya Wydad na mabingwa wa Africa timu ya misri Simba walitajwa mara nyingi zaidi pamoja na kuwa hawakucheza.
Hivyo hakuna timu Africa zisizoijua Simba ndio maana utopolo wamekuwa wakijitahidi kupokea wapinzani wa Simba wanapokuja kucheza na Simba ili wajibrand matokeo yake wanaachwa kwenye mataa.
Ila Kwa FIFA yanga wanajulikana zaidi kuliko Simba kutokana na kuwa na kesi nyingi za madai na madeni ya wachezaji na makocha wanaovunjiana nao mikataba.
 
Majitu majinga...ni majinga tu...ww ni mjinga kweli kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UTO NI WAMATOPENI WANAJULIKANA HUKO KIDIMBWI TU
kwa matokeo hayo nani alitolewa?
 
Unachanganya madawa wale ni Orlando pirates mpira umejua juzi acha ushamba..
Kilichokushanga pale kipi upande unaotokea wenye matumizi mazuri ya ubongo wawili tu siyo kosa lako maskini!!
Kwanini simba waliwasha moto?
 
Back
Top Bottom