Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Jul 21, 2023 #61 Dr Matola PhD said: Ina maana ni Try again ndio anafanya huu utoto? Basi huyo ni lazima atakuwa na account Tiktok. Click to expand... Unamshangaa Tryagain kuliko wewe unaeiabisha PhD kwenye nyuzi mbalimbali humu, au ndio Nyani haoni kundule?
Dr Matola PhD said: Ina maana ni Try again ndio anafanya huu utoto? Basi huyo ni lazima atakuwa na account Tiktok. Click to expand... Unamshangaa Tryagain kuliko wewe unaeiabisha PhD kwenye nyuzi mbalimbali humu, au ndio Nyani haoni kundule?
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Jul 21, 2023 #62 Dr Matola PhD said: Fainali ya CAF iliangaliwa dunia nzima na Mgeni rasmi alikuwa Rais wa CAF. Click to expand... "Dunia Nzima" eeeh..? Kwanini tunampa Mbunga Msukuma uhalali wa kuigaragaza mifumo yetu ya kielimu kirahisi namna hii?
Dr Matola PhD said: Fainali ya CAF iliangaliwa dunia nzima na Mgeni rasmi alikuwa Rais wa CAF. Click to expand... "Dunia Nzima" eeeh..? Kwanini tunampa Mbunga Msukuma uhalali wa kuigaragaza mifumo yetu ya kielimu kirahisi namna hii?
M mafarisayoo JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 1,190 Reaction score 830 Jul 21, 2023 #63 Mchawi huwa anajulikana mtaa(nchi nzima hadi nje ya nchi) mzima.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jul 21, 2023 #64 Tate Mkuu said: Sema tu hakupenda kumalizia mpaka mwisho, ya kwamba anawafahamu zaidi simba kwa vitendo vyao vya kishirikina vya kuchoma moto uwanjani. Click to expand... Hapo tayari pua zimeshakupanuka kama huyu zeruzeru wenu
Tate Mkuu said: Sema tu hakupenda kumalizia mpaka mwisho, ya kwamba anawafahamu zaidi simba kwa vitendo vyao vya kishirikina vya kuchoma moto uwanjani. Click to expand... Hapo tayari pua zimeshakupanuka kama huyu zeruzeru wenu
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 21, 2023 #65 Mac Alpho said: Unamshangaa Tryagain kuliko wewe unaeiabisha PhD kwenye nyuzi mbalimbali humu, au ndio Nyani haoni kundule? Click to expand... Wewe unaliona kundulo?
Mac Alpho said: Unamshangaa Tryagain kuliko wewe unaeiabisha PhD kwenye nyuzi mbalimbali humu, au ndio Nyani haoni kundule? Click to expand... Wewe unaliona kundulo?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 21, 2023 #66 Sima70 said: Aliyehojiwa hajatoa sababu ya moto ye katoa sababu ya kuchapwa tatu, subiri ukiulizwa wewe ndipo ujibu ya moto Click to expand... Kaizer Chiefs walishaimaliza mechi Johannesburg kwa kuwapiga 4 kwa sufuri, Dar walikuja kutalii tu.
Sima70 said: Aliyehojiwa hajatoa sababu ya moto ye katoa sababu ya kuchapwa tatu, subiri ukiulizwa wewe ndipo ujibu ya moto Click to expand... Kaizer Chiefs walishaimaliza mechi Johannesburg kwa kuwapiga 4 kwa sufuri, Dar walikuja kutalii tu.