Mchezaji wa Kaizer Chiefs: Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge

Mchezaji wa Kaizer Chiefs: Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge

Sema tu hakupenda kumalizia mpaka mwisho, ya kwamba anawafahamu zaidi simba kwa vitendo vyao vya kishirikina vya kuchoma moto uwanjani.
Hapo tayari pua zimeshakupanuka kama huyu zeruzeru wenu
1660262109234.jpg
 
Aliyehojiwa hajatoa sababu ya moto ye katoa sababu ya kuchapwa tatu, subiri ukiulizwa wewe ndipo ujibu ya moto
Kaizer Chiefs walishaimaliza mechi Johannesburg kwa kuwapiga 4 kwa sufuri, Dar walikuja kutalii tu.
 
Back
Top Bottom