Yaap kuna uwezekano mkubwa Januari akajiunga Kaizer Chief ya Afrika kusiniOkwi anaondoka?
Okwi hawezi kuishi bila simba atarudi nafikiriYaap kuna uwezekano mkubwa Januari akajiunga Kaizer Chief ya Afrika kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli atarudi tu hata umri bado unamruhusu ndio kwanza ana 26Okwi hawezi kuishi bila simba atarudi nafikiri
mkuu huu sasa wivuMikia hata mumlete Messi mtamrushia makopo tu!!
Hahahah mkuu mna jazba sana nyie jamaa.
Huyo mtu mkisikia katua vyura mtatafutana tuHahahah mkuu mna jazba sana nyie jamaa.
Kabisa mkuu ni mpambanaji kwaajili ya timuNi mtu sahihi na ni aina ya washambuliaji wenye kupambana kutafuta matokeo.
ACHENI HIZO UMR IUNAMRUHUSU VP OKWI YAAANI UNAMBIE KUWA OKWE ANA 26 AGES YULE 33+
Okwi kazaliwa 25Dec 1992 hivyo ana miaka 26 tu kwahyo umri unaruhusu kwenda huko na kucheza hata misimu mitatu na kurudi Simba Sc akiwa na miaka 29 kumalizia soka lake hapaACHENI HIZO UMR IUNAMRUHUSU VP OKWI YAAANI UNAMBIE KUWA OKWE ANA 26 AGES YULE 33+
Walter Bwalya anatufaa Msimbazi.Okwi kazaliwa 25Dec 1992 hivyo ana miaka 26 tu kwahyo umri unaruhusu kwenda huko na kucheza hata misimu mitatu na kurudi Simba Sc akiwa na miaka 29 kumalizia soka lake hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe ila sio kwa mtu makini kama BwalyaMchezaji wa kigeni ni kama kucheza kamari....walikuja wengi hapa wakaondoka kimya kimya...
Hizo ni dharau kwa mfalme Emmanuel Okwi kuziba pengo lake na Salamba, Kosa hilo ni sawa na Madrid kuziba pengo la Ronaldo kwa MarianoTamaa haitamwacha fisi salama ! Mbona salamba ni mbadala tosha wa Okwi ?
Sent using Jamii Forums mobile app