Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Kufuatia striker Machachari wa Simba Mganda Emmanuel Okwi kuwa mbioni kutimukia Kaizer Chiefs ya huko Afrika kusini ni wazi kabisa kijana mdogo Walter Bwalya kutoka Nkana Fc ya Zambia ni mbadala sahihi wa Okwi
Bwalya ambaye ana miaka 23 Ndie mfungaji bora wa ligi ya zambia msimu wa mwaka 2016 huku akiiwezesha timu yake ya Nkana kushiriki ligi ya mabingwa msimu wa 2018/2019 na kuiishia katika raundi ya pili baada ya kutolewa na Mabingwa wa Tanzania Simba Sc
Sent using Jamii Forums mobile app