Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

hilo kima nilisenge la kutupa, hivi mwanaume una akili zako timau unaanzaje kuandikisha malizako jina la demu wako au wife tena mali zote basi angeandikisha nusu pia nusu aandikishe majina yake tatizo wanaanza mapenzi wakiwa wakubwa ndio tatzo la ulimbukimeni huyu inaonekana alianza kuchakata papuchi kwa mara ya kwanza akiwa SA JLjehu hili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]
 
Hizi Sheria za ndoa zingine zinatia ukakasi.
Tatizo siyo sheria bali wewe kukubali kuandikisha mali zote kuwa ni za mwanamke. Sheria za ndoa za nchi nyingi zinatambua kugawana mali. Lakini wewe ulkiwa zuzu ukaandisha majina ya mke tena ya kuzaliwa huo ni upumbavu wako na si sheria.
 
[mention]Liverpool VPN [/mention] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Hili toto bwege kabisa yaani limefurushwa hata kijiko hakuna ma.aee
 
Kwani jamaa alikuta K ya mkewe ina utofauti kiasi gani na za mademu wa buza?!

Daah! Another idiot man is down.
 
Yani mijitu sijui inakuwaga mipumbavu kiasi gani. Hata kama ni utamu wa kufinyiwa ndani sio ujitoe ufahamu kiasi hicho.

Ukishakuwa mgeni nchi za watu unapaswa uchukulie kila kitu kuwa ni cha muda tu ikiwemo mahusiano. Sasa mipuuzi mingine ikienda ugenini na yenyewe inajfanya wenyeji.

Kwa nchi kama Afrika Kusini mgeni hasa akiwa mweusi hana thamani yeyote, na ukiona wanakushobokea ujue ni kwa sababu maalum ambayo ni mali. Mwisho wa siku wanakuita 'kwirikwiri' tu.

Mungu amjaalie iwe aliwekeza na kwao Zimbabwe tofauti na hapo kama alijikuta Msouth tayari ndio imekula kwake.
sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.
mgeni huruhusiwi kununua gari nyumba etc so ukiwa na mpenzi wako utatumia jina lake kununua hivyo vitu na nahisi ndicho alichofanya huyo jamaa huyu jamaa.
 
Correction ni 'kwere kwere ' sio kwiri kwiri haha
 
HUWEZI KUJUA KUWA DUNIA INA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO........

NAONA VIJANA NA WADAU WANATOA MANENO YASIOFAA KWA KIJANA MWENZAO.......

NIWAKUMBUSHE TU VIJANA KUWA MAISHA NI SAFARI NDEFU SANA NA KWENYE SAFARI YA MAISHA LINAWEZA KUTOKEA JAMBO LOLOTE.......

BUSARA NI KUJIFUNZA KUPITIA KUJIKWAA KWAKE NA SIO KUMKEJELI KWA HAKUNA AJUAYE KESHO YAKE KAMA AMBAVYO YEYE HAKUJUA KAMA HAYA YANGEMKUTA..........

TUJIZUEI NA LUGHA MBAYA NA ZENYE KUKERA DHIDI YA WENZETU WANAOPITIA AU KUPATWA NA MAGUMU...........

NB;
AMBAYE HAIKUMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE......
 
sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.
mgeni huruhusiwi kununua gari nyumba etc so ukiwa na mpenzi wako utatumia jina lake kununua hivyo vitu na nahisi ndicho alichofanya huyo jamaa huyu jamaa.
Sio kweli, as long as una valid status ambayo ni lazima huyo jamaa anayo (work permit) sababu ni mchezaji official wa timu ni ruhusa kumiliki nyumba na gari, tena kwenye gari ndio rahisi zaidi ukiwa na passport ya kwenu tu unapata Traffic Register na unamiliki chombo.
Na kitendo cha kuoa raia automatically ana qualify kupata resident permit kupelekea kupata citizenship. Kwa mantiki hiyo basi alifanya kwa uzwa uzwa wake mwenyewe kuhisi anapenda sana na sasa imemgharimu.
 
Mambo ya aliyekuwa beki wa ARSENAL Emmanuel Ebue alifilisiwa na mdada wa kiingereza kila kitu akawa analala kwa washkaji
Umeniwahi, nilitaka uandika hivyo hivyo. Haya mambo ya uandika majina ya wake zetu kwenye mali bila kuangalia intention zao ni mbaya sana kusema ukweli.
 
Back
Top Bottom