Mr muhuni
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 1,298
- 1,266
Ili ewejeSi amuombe msamaha basi awe mume wa pili,daah!!!
Hapo ndo imeisha io
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili ewejeSi amuombe msamaha basi awe mume wa pili,daah!!!
Akàhifadhiwa na DADA wa KIzanzibar, naikumbuka hii storyMambo ya aliyekuwa beki wa ARSENAL Emmanuel Ebue alifilisiwa na mdada wa kiingereza kila kitu akawa analala kwa washkaji
Huyo dada wa kizanzibar bado yuko nae?Akàhifadhiwa na DADA wa KIzanzibar, naikumbuka hii story
Kwa kweli sijui Dada, ila dah hio picha kwa avatar yako dah! Yaani, basi tuHuyo dada wa kizanzibar bado yuko nae?
WAKE UP CALL TO OTHER PROFESSIONALS.Safi sana
Hizi akili za kuandikisha majina ya wanawake sijui mke sijui, wanaume huwa mnazitoleaga sayari ipi!?!
Daahh,😂😂😂LIMBWATA SIO BONGO TU!!!
Kufinyiwa kwa ndani ndio aje mkuu ?Yani mijitu sijui inakuwaga mipumbavu kiasi gani. Hata kama ni utamu wa kufinyiwa ndani sio ujitoe ufahamu kiasi hicho.
Ukishakuwa mgeni nchi za watu unapaswa uchukulie kila kitu kuwa ni cha muda tu ikiwemo mahusiano. Sasa mipuuzi mingine ikienda ugenini na yenyewe inajfanya wenyeji.
Kwa nchi kama Afrika Kusini mgeni hasa akiwa mweusi hana thamani yeyote, na ukiona wanakushobokea ujue ni kwa sababu maalum ambayo ni mali. Mwisho wa siku wanakuita 'kwirikwiri' tu.
Mungu amjaalie iwe aliwekeza na kwao Zimbabwe tofauti na hapo kama alijikuta Msouth tayari ndio imekula kwake.
tafuta videmu vilivyokubuhu kwenye uzinzi vikuonyeshe. Utajikuta na wewe unahonga mpaka roho yako😀Kufinyiwa kwa ndani ndio aje mkuu ?
tafuta videmu vilivyokubuhu kwenye uzinzi vikuonyeshe. Utajikuta na wewe unahonga mpaka roho yako😀