Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Yani mijitu sijui inakuwaga mipumbavu kiasi gani. Hata kama ni utamu wa kufinyiwa ndani sio ujitoe ufahamu kiasi hicho.
Ukishakuwa mgeni nchi za watu unapaswa uchukulie kila kitu kuwa ni cha muda tu ikiwemo mahusiano. Sasa mipuuzi mingine ikienda ugenini na yenyewe inajfanya wenyeji.

Kwa nchi kama Afrika Kusini mgeni hasa akiwa mweusi hana thamani yeyote, na ukiona wanakushobokea ujue ni kwa sababu maalum ambayo ni mali. Mwisho wa siku wanakuita 'kwirikwiri' tu.

Mungu amjaalie iwe aliwekeza na kwao Zimbabwe tofauti na hapo kama alijikuta Msouth tayari ndio imekula kwake.
Kufinyiwa kwa ndani ndio aje mkuu ?
 
Back
Top Bottom