Dr Dre Yeye alichana chana Maktaba wa makubariano ya mali zake na mkewe iwapo wataachana!(Kwenye Mkataba Mke alikubali kutodai chochote iwapo wataachana) Sasa anaface the music
Pesa shida sana ndo maana mama yake Ronaldo hataki mwanae aoe anahisi yule demu kafuata mkwanja
Kwa upumbavu huuu....
AKOMAE TU NA HALI YAKE.
#YNWA
Tatizo siyo sheria bali wewe kukubali kuandikisha mali zote kuwa ni za mwanamke. Sheria za ndoa za nchi nyingi zinatambua kugawana mali. Lakini wewe ulkiwa zuzu ukaandisha majina ya mke tena ya kuzaliwa huo ni upumbavu wako na si sheria.Hizi Sheria za ndoa zingine zinatia ukakasi.
sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.Yani mijitu sijui inakuwaga mipumbavu kiasi gani. Hata kama ni utamu wa kufinyiwa ndani sio ujitoe ufahamu kiasi hicho.
Ukishakuwa mgeni nchi za watu unapaswa uchukulie kila kitu kuwa ni cha muda tu ikiwemo mahusiano. Sasa mipuuzi mingine ikienda ugenini na yenyewe inajfanya wenyeji.
Kwa nchi kama Afrika Kusini mgeni hasa akiwa mweusi hana thamani yeyote, na ukiona wanakushobokea ujue ni kwa sababu maalum ambayo ni mali. Mwisho wa siku wanakuita 'kwirikwiri' tu.
Mungu amjaalie iwe aliwekeza na kwao Zimbabwe tofauti na hapo kama alijikuta Msouth tayari ndio imekula kwake.
Correction ni 'kwere kwere ' sio kwiri kwiri hahaYani mijitu sijui inakuwaga mipumbavu kiasi gani. Hata kama ni utamu wa kufinyiwa ndani sio ujitoe ufahamu kiasi hicho.
Ukishakuwa mgeni nchi za watu unapaswa uchukulie kila kitu kuwa ni cha muda tu ikiwemo mahusiano. Sasa mipuuzi mingine ikienda ugenini na yenyewe inajfanya wenyeji.
Kwa nchi kama Afrika Kusini mgeni hasa akiwa mweusi hana thamani yeyote, na ukiona wanakushobokea ujue ni kwa sababu maalum ambayo ni mali. Mwisho wa siku wanakuita 'kwirikwiri' tu.
Mungu amjaalie iwe aliwekeza na kwao Zimbabwe tofauti na hapo kama alijikuta Msouth tayari ndio imekula kwake.
Sio kweli, as long as una valid status ambayo ni lazima huyo jamaa anayo (work permit) sababu ni mchezaji official wa timu ni ruhusa kumiliki nyumba na gari, tena kwenye gari ndio rahisi zaidi ukiwa na passport ya kwenu tu unapata Traffic Register na unamiliki chombo.sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.
mgeni huruhusiwi kununua gari nyumba etc so ukiwa na mpenzi wako utatumia jina lake kununua hivyo vitu na nahisi ndicho alichofanya huyo jamaa huyu jamaa.
kikubwa umeelewa mkuu.Correction ni 'kwere kwere ' sio kwiri kwiri haha
Umeniwahi, nilitaka uandika hivyo hivyo. Haya mambo ya uandika majina ya wake zetu kwenye mali bila kuangalia intention zao ni mbaya sana kusema ukweli.Mambo ya aliyekuwa beki wa ARSENAL Emmanuel Ebue alifilisiwa na mdada wa kiingereza kila kitu akawa analala kwa washkaji