Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Umeniwahi, nilitaka uandika hivyo hivyo. Haya mambo ya uandika majina ya wake zetu kwenye mali bila kuangalia intention zao ni mbaya sana kusema ukweli.
Ujinga huu sifanyi nikizeeka ntaandika watoto sio mke
 
Ndiyo maana nikasema:, SIDHANI. uhalisia anaujua yeye zaidi.
 
Jamani eeh mwanaume ukijua una Mali nyingi kabla hujaoa ni Bora kusign prenup,unajua mahusiano yanapoanza hakuna anayewaza kuachana au talaka mnakua mnajiona nyie ndio mnapendana dunia nzima yaani lakini ukiingia kwenye ndoa kuna changamoto nyingi usipokua ngangari talaka ndo kimbilio la wengi.

Sasa Mali umetafuta mwenyewe kwa kujituma Sana ukiwa peke yako.unanioa Mimi na kadiploma kangu ka ugavi nalipwa zangu laki tatu halafu siku ya talaka napewa nusu ya Mali zote au worse Kama tuna watoto napewa robotatu 😄😄 na za watoto,sijui unaanzaje upya hapo dah, mapenzi matamu lakini na akili zitumike.
 
Inaskitisha sana, lkn kuna la kujifunza............fkir saaana kabla ya kutenda, haya sasa bwana Ndoro yupo kuyajutia maamuz yake.

Usfanye uamuz ukiwa na furahaa sana ama ukiwa na uchungu hasira, haya ndyo madhara. Tusimlaumu bali tujifunze kupitia yy
 
Kamzarisha watoto wangap ?? Kama kamzalisha watoto weng angalau wanne bas watafaidka na jasho la baba yao,,,,ila Kama hajamzarisha watoto hapo ndo kapigwa pakubwa.

Cha kujifunza hapa ni usimwamin mwanamke maana sio ndugu yako,na ikiwezekana usimshrikishe kwa Kila Jambo unalofanya mfano mali zako hatakiw azifaham zote ni kosa kubwa Sana akizifaham,maana anaweza hata akakuua.

NB. Wanawake weng karibu 98% wanawapenda wanaume kwa sababu ya hela na si kutoka moyoni.

Kuna wanaume wengne had had huwa wanasomesha mabint lakn baadae wanakuja kufanyiwa unyama wa kuachwa
 
Nilijifunza kwa jamaa yangu mmoja RIP..walizawadiwa kiwanja siku ya harusi na babamkwe wake/wazazi wa mkewe kimeandikwa jina la mke wake. ..jamaa kapambana kuokotaokota vijisent akajenga...alipomaliza tu mwanamke akabadilika anarudi nyumbani mda anaotaka, akisimama kama mwanaume kukemea upuuzi wa mkewe mwanamke anamwambia akamwambia hapo ni kwake nyumba ni yake, suluhu imetafutwa imeshindikana mwishowe mwamba akaenda kupanga room moja ila mawazo yalikuwa makubwa akapata presha ya kichwa akalazwa mwishowe akavuta. ...R.I.P ..kuna lakujifunza hapo
 
sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.
mgeni huruhusiwi kununua gari nyumba etc so ukiwa na mpenzi wako utatumia jina lake kununua hivyo vitu na nahisi ndicho alichofanya huyo jamaa huyu jamaa.
Hakuna policy hizo South Africa acha kupotosha watu.

Binafsi nimenunuwa gari na kulimiki kwa jina langu tena kitambo sana miaka 22 iliyopita.

Jamaa zangu mfuko uliokuwa unawaruhusu wamenunuwa nyumba na wanazimili kisheria kabisa.

Ni nani alikudanganya hili?
 
Siyo kiwanja cha mke wako tu, hata kiwanja cha familia yenu ukijenga hiyo ni nyumba ya familia siyo yako.
 
Ni hatar Sana aisee !!!
 
Mkuu usiseme sana achana na kitu inaitwa MAKU oohoooo[emoji848]
 
sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.
mgeni huruhusiwi kununua gari nyumba etc so ukiwa na mpenzi wako utatumia jina lake kununua hivyo vitu na nahisi ndicho alichofanya huyo jamaa huyu jamaa.
Case closed
 
Wanaume wajinga wasio tambua kuwa mwanamke ni wa kugegeda tuu
 
sidhani alifanya hivyo kwasababu ya mapenzi bali policies za SA kuhusu wageni.
mgeni huruhusiwi kununua gari nyumba etc so ukiwa na mpenzi wako utatumia jina lake kununua hivyo vitu na nahisi ndicho alichofanya huyo jamaa huyu jamaa.
Hamna kitu kama hicho
 
Huwezi kumuonea huruma mpuuzi wa hivi.

Kwakuwa kutoka Johannesburg mpaka Zimbabwe ni mwendo wa masaa machache tu basi atarudi kwao hata kwa bajaj jinga kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
dingi bila pepa uwezi nunua gari wala nyumba labda unataka kuweka ligi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…