KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
- Thread starter
-
- #41
huyu okwi hivi mmeloga apa bongo make hata uganda anasugua benchi, ebu nipe jibu basi ilikuaje amekosa soko huyu mchezajo bora kadolora kabaki kutia huruma tu, ameshindwa kupata timu india ebu jibu wacha jazba
In your dreams....YANGA ndio ilimtoa from zero to hero,nani angemjua bila yanga iliyomuokota mwananyamala?
Mkuu wewe mwenyewe ulikuwa unatupa update jana, hebu tueleze kama sentensi yako hii bado inahusika.Halafu msimu huu kwa Okwi ni kama misimu yake ile mi'3 iliyotangulia,yaani hawezi ku'shine...mtaniambia
Hiyo ndiyo hoja uliyoiona kwako ina maana, umeacha kuchangia hoja iliyoletwa unashikilia verse moja kama shetani! Poor Kim.....mkuu unajichosha bure muulize tu ulimwengu alikua anacheza namba ngapi simba?that's it,uone kama atarudi tena.
Hiyo ndiyo hoja uliyoiona kwako ina maana, umeacha kuchangia hoja iliyoletwa unashikilia verse moja kama shetani! Poor Kim.....
vipi okwi hata india nako wamemkataa, kweli simba mnazalisha vipaji
Mtani kwa nn okwi anakimbia vipimo huko mbele?hivi yanga ilimuuza bil ngapi kwenda sauzi na baadae ulaya...
michezaji yenu haina nidhamu wala determination check haruna moshi na lile dili lake la ulaya alivyoliharibu...hao ndio wachezaji tulionao tz pia kumbuka nonda kwenda south aliondoka na nani wakitokea wote yanga?na je nini kilimtokea huyo mtanzania mwenzetu ambae kiukweli yeye ndio alikua star kuliko hata nonda japo walicheza namba tofauti...na pia kukumbusha tu hapo yanga nonda hakua super star kwenye hiyo black star ya mzee leya,kuna watz wenzetu walikua mastaa zaidi yake kama ali yufuf tigana na wengine lakini jiulize waliishia wapi?
Kumbe wewe nyumba ya sanaa basi bwana mdogo hapa Chuo kikuu cha Sanaa ambacho tawi lake lipo mji mkuu wa Yemeni.Naona tumekushika pabaya unatafuta pa kutokea,ulitaka kuleta sanaa kwenye nyumba ya sanaa,acha longo longo kijana
Ama kweli mashabiki wa Yanga vichwa vimejaa maji, Wagumu kuelewa Wepesi kusahau! Mliyoyafanya siku mlipotundikwa mabao 3-1 na Azam ndiyo nidhamu? Walio na nidhamu ni Niyonzima, Mwasika, Tegete na wenzao waliompiga mwamuzi kwa makusudi, lakini faulu ya bahati mbaya amabyo hata mwamuzi hakuiona ndiyo mnaona hana nidhamu.Yeah nadhani tatizo ni mind set, anyway tunaweza kuchukuia hii kama mfano mzuri kwa wachezaji wetu wenye nia ya kujifunza, lazima tuelewe mpira sio kujua danadana na chenga peke yake, makuzi nayo yana-matter sana, hapa kwetu mtu akiwa star basi yeye ni kila kitu haambiliki tena.
Kumbe wewe nyumba ya sanaa basi bwana mdogo hapa Chuo kikuu cha Sanaa ambacho tawi lake lipo mji mkuu wa Yemeni.
hiyo ndiyo hoja uliyoiona kwako ina maana, umeacha kuchangia hoja iliyoletwa unashikilia verse moja kama shetani! poor kim.....
Vyanzo vyote vya habari vinavyoonyesha kwamba Nonda alicheza Yanga vinaonyesha pia alicheza Atletico, na vingine ambavyo havionyeshi Atletico hata Yanga haikutajwa pia, sasa hapo fix zangu ziko wapi?acha fix nonda hakuwahi kucheza ligi kuu ya nchi yeyote kabla ya kucheza ligi kuu ya bongo,na yanga walimuokota mchangani mwananyamala,aliijipeleka yanga baada ya mzee tambwe leya kuita vijana wote wanaojiamini wanajua kucheza mpira,ndio akaenda jangwani kwenye mazoezi ya mchujo wa vijana karibu 100,ikumbukwe wakati huo yanga iliondokewa na wachzaji wengi mahiri baada ya mpondela kuwafurusha kina gulamali waliokua wanawamiliki hao wachezaji akiwemo lunyamila aliyekwenda malindi,said "magoli" mwamba aliyechukuliwa na simba,mzee leya akatengeneza kikosi cha pili cha yanga "black stars" then akawapandisha kuwa yanga kamili ikiitwa yanga yosso,so utaona ujio wa nonda yanga ni tofauti na kina kavambangu ambao wamenunuliwa wakiwa mastaa huko walikotoka,nonda was nothing na alijipeleka yanga bure then akajengwa yanga!
Kumbe wewe nyumba ya sanaa basi bwana mdogo hapa Chuo kikuu cha Sanaa ambacho tawi lake lipo mji mkuu wa Yemeni.
fix zako ni kutojua reality ya historia ya nonda!ndio maana nikakueleza alivyoingia yanga,hakusajiliwa kwa pesa yeyote,alipandishwa kutoka kikosi cha pili cha yanga baada ya kukibaini kipaji chake katikamazozi ya mafungu ya wachezaji walioitwa yanga kujaribiwa,yanga haikumtoa atletico,huo ndio ukweli,na ilimsajili kama mchezaji huru kutoka burundi na wala sio congoVyanzo vyote vya habari vinavyoonyesha kwamba Nonda alicheza Yanga vinaonyesha pia alicheza Atletico, na vingine ambavyo havionyeshi Atletico hata Yanga haikutajwa pia, sasa hapo fix zangu ziko wapi?
Usivamie hoja bila ya kuielewa wewe, hicho chuo kikuu alichoongelea mwenzako mwenye akili kama zako cha ndani ya nyumba ni cha aina gani kama sio cha kufundishana kulala mzungu wa nne na kutengeneza makopo ya kuogea? Kajipange huna jipya....katika hali ya kawaida chuo kikuu hakiwezi kuwa juu ya mti ni lazima kitakua kwenye nyumba,so bado nyumba ya sanaa itausika sana na iko chuo kikuu chako,ni lazima utakifanyia ndani ya mjengo wa sanaa!
Kwa jinsi mnavyohisi kichefuchefu likitajwa jina la Okwi magoli bila shaka tayari mimba ya mabao matano imenasa.WE NAWE UNAONGEA NINI USICHAFUE WATU ROHO OKWI OKWI OKWI NDIO NINI ACHA USHAMBAA WEWE SIDHANI KAMA HATA UNA MIAKA 3 kwenye kuujua mpira wa kibongo nashanga unapojipalilia eti TOM ULIMWENGU ALITOKA SIMBA HUNA DATA UNADANDIA GOVINDA KWA MBELE WEWE USIOKIJUWA FUNGA TUU YAKO STARING WA KIHINDI WEWE