acha fix nonda hakuwahi kucheza ligi kuu ya nchi yeyote kabla ya kucheza ligi kuu ya bongo,na yanga walimuokota mchangani mwananyamala,aliijipeleka yanga baada ya mzee tambwe leya kuita vijana wote wanaojiamini wanajua kucheza mpira,ndio akaenda jangwani kwenye mazoezi ya mchujo wa vijana karibu 100,ikumbukwe wakati huo yanga iliondokewa na wachzaji wengi mahiri baada ya mpondela kuwafurusha kina gulamali waliokua wanawamiliki hao wachezaji akiwemo lunyamila aliyekwenda malindi,said "magoli" mwamba aliyechukuliwa na simba,mzee leya akatengeneza kikosi cha pili cha yanga "black stars" then akawapandisha kuwa yanga kamili ikiitwa yanga yosso,so utaona ujio wa nonda yanga ni tofauti na kina kavambangu ambao wamenunuliwa wakiwa mastaa huko walikotoka,nonda was nothing na alijipeleka yanga bure then akajengwa yanga!