GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
utani tagi JoseJina lake ni nani
Jina lake ni nani
sawa mtaniutani tagi Jose
Hujajibu swali vizuri mkuu...sikushuhudia mtanange mimiAliyekosa goli la wazi kabisa juzi wakati wa mtangane / mpambano wao na Ndanda FC.
Mpumbavu anapokusumbua dawa yake nn.Kuna taarifa kwamba mmoja wa Wachezaji tegemeo kabisa wa Klabu ya Yanga hivi sasa yupo Rumande Kituo cha Polisi kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kwa kile anachodai kwamba huyo Mwandishi amezidi kumfuata mfuata ( anawashwawashwa ) nae mno hata kwa mambo yake binafsi.
Chanzo cha hii taarifa ni Efm Kipindi chao kizuri cha michezo cha Sports Headquarters muda mfupi tu uliopita katika kile ' Kipengele ' chao pendwa cha ' Chabo Chabo ' na Mtangazaji aliyesema hili anaitwa Oscar Oscar.
Yanga SC vipi mpira sasa umewashinda hadi mnahamia katika Ndondi / Ndonga / Masumbwi / Vitasa / Nakoz?
Nawasilisha.
utani tagi Jose
Hujajibu swali vizuri mkuu...sikushuhudia mtanange mimi
Kwa hiyo tukusaidie nini?Kuna taarifa kwamba mmoja wa Wachezaji tegemeo kabisa wa Klabu ya Yanga hivi sasa yupo Rumande Kituo cha Polisi kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kwa kile anachodai kwamba huyo Mwandishi amezidi kumfuata mfuata ( anawashwawashwa ) nae mno hata kwa mambo yake binafsi.
Chanzo cha hii taarifa ni Efm Kipindi chao kizuri cha michezo cha Sports Headquarters muda mfupi tu uliopita katika kile ' Kipengele ' chao pendwa cha ' Chabo Chabo ' na Mtangazaji aliyesema hili anaitwa Oscar Oscar.
Yanga SC vipi mpira sasa umewashinda hadi mnahamia katika Ndondi / Ndonga / Masumbwi / Vitasa / Nakoz?
Nawasilisha.
Abdi Banda, Mambosasa, Michael Paul, Christopher Alex Masawe, kwa viongozi ni Hasanoo, Haji Manara, Wambura, Rage, Kaburu na Aveva hao wote wameshalala Sero na wengine kufungwa kabisa, ukinitajia idadi hiyo hiyo Yanga ya wachezaji na viongozi najitoa JfMbona yupo tu hapo Kituo cha Polisi cha jirani na Wewe ulipo Mkuu? Nenda kamsabahi / kamsalimie basi na umpe pole kwa niaba yetu Sisi wanamichezo hasa wana Simba SC ambao ni wastaarabu. Ni aghalabu / nadra sana kumkuta Mchezaji wa Simba SC anafanya vitendo vya aibu namna hii. au labda yawezekana kwakuwa Wachezaji wa Simba SC wanalipwa ' Mamilioni ' ya Pesa hivyo hawana muda wa ' hovyo hovyo ' wa kufanya Fujo, Vurugu na Kugombe Vikombe vya Chai na Chapati kama wa Yanga SC.
Yanga na mpira wapi na wapi wew? Hawa ndy wanapiga sana marefa mara kwa mara.
Waliponusurika kuchapwa na Majimaji Songea, yule jamaa sijui Nsajigwa akaanza kupondea eti uwanja ufungiwe sababu ni mbaya.
Hapo utaona hawa watu walivyo wahovyo.
Naona unawashwawashwa!!
Haya poaMechi ya Simba na Yanga alisumbuliwa sana na Kichuya na baadae Kotei. Bado tu hujamjua Mkuu? Unaniangusha bhana! Unakuwa kama siyo mwana michezo ambaye kila mechi ya Taifa au Uhuru huwa unaingia? Haya mwisho nakufumbia huyo mchezaji ndiyo ' Kinara ' wa kuyatumia majani fulani hivi yanaitwa Bob Marley Leaves kwa sasa ndani ya hiyo Klabu.