Mchezaji wa Yanga SC yupo rumande kwa kumpiga Ngumi Mwandishi wa Habari

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna taarifa kwamba mmoja wa Wachezaji tegemeo kabisa wa Klabu ya Yanga hivi sasa yupo Rumande Kituo cha Polisi kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kwa kile anachodai kwamba huyo Mwandishi amezidi kumfuata mfuata ( anawashwawashwa ) nae mno hata kwa mambo yake binafsi.

Chanzo cha hii taarifa ni Efm Kipindi chao kizuri cha michezo cha Sports Headquarters muda mfupi tu uliopita katika kile ' Kipengele ' chao pendwa cha ' Chabo Chabo ' na Mtangazaji aliyesema hili anaitwa Oscar Oscar.

Yanga SC vipi mpira sasa umewashinda hadi mnahamia katika Ndondi / Ndonga / Masumbwi / Vitasa / Nakoz?

Nawasilisha.
 
Mpumbavu anapokusumbua dawa yake nn.
 
utani tagi Jose

Mbona yupo tu hapo Kituo cha Polisi cha jirani na Wewe ulipo Mkuu? Nenda kamsabahi / kamsalimie basi na umpe pole kwa niaba yetu Sisi wanamichezo hasa wana Simba SC ambao ni wastaarabu. Ni aghalabu / nadra sana kumkuta Mchezaji wa Simba SC anafanya vitendo vya aibu namna hii. au labda yawezekana kwakuwa Wachezaji wa Simba SC wanalipwa ' Mamilioni ' ya Pesa hivyo hawana muda wa ' hovyo hovyo ' wa kufanya Fujo, Vurugu na Kugombe Vikombe vya Chai na Chapati kama wa Yanga SC.
 
Yanga na mpira wapi na wapi wew? Hawa ndy wanapiga sana marefa mara kwa mara.

Waliponusurika kuchapwa na Majimaji Songea, yule jamaa sijui Nsajigwa akaanza kupondea eti uwanja ufungiwe sababu ni mbaya.
Hapo utaona hawa watu walivyo wahovyo.
 
Hujajibu swali vizuri mkuu...sikushuhudia mtanange mimi

Mechi ya Simba na Yanga alisumbuliwa sana na Kichuya na baadae Kotei. Bado tu hujamjua Mkuu? Unaniangusha bhana! Unakuwa kama siyo mwana michezo ambaye kila mechi ya Taifa au Uhuru huwa unaingia? Haya mwisho nakufumbia huyo mchezaji ndiyo ' Kinara ' wa kuyatumia majani fulani hivi yanaitwa Bob Marley Leaves kwa sasa ndani ya hiyo Klabu.
 
Kuna taarifa kwamba mmoja wa Wachezaji tegemeo kabisa wa Klabu ya Yanga hivi sasa yupo Rumande Kituo cha Polisi kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kwa kile anachodai kwamba huyo Mwandishi amezidi kumfuata mfuata ( anawashwawashwa ) nae mno hata kwa mambo yake binafsi.

Chanzo cha hii taarifa ni Efm Kipindi chao kizuri cha michezo cha Sports Headquarters muda mfupi tu uliopita katika kile ' Kipengele ' chao pendwa cha ' Chabo Chabo ' na Mtangazaji aliyesema hili anaitwa Oscar Oscar.

Yanga SC vipi mpira sasa umewashinda hadi mnahamia katika Ndondi / Ndonga / Masumbwi / Vitasa / Nakoz?

Nawasilisha.
Kwa hiyo tukusaidie nini?
 
Weka jina basi vinginevyo taarifa kama hizi za umbea usizilete humu kwa sababu umeweka heading ambayo inaatract attention ya watu
 
Mbona yupo tu hapo Kituo cha Polisi cha jirani na Wewe ulipo Mkuu? Nenda kamsabahi / kamsalimie basi na umpe pole kwa niaba yetu Sisi wanamichezo hasa wana Simba SC ambao ni wastaarabu. Ni aghalabu / nadra sana kumkuta Mchezaji wa Simba SC anafanya vitendo vya aibu namna hii. au labda yawezekana kwakuwa Wachezaji wa Simba SC wanalipwa ' Mamilioni ' ya Pesa hivyo hawana muda wa ' hovyo hovyo ' wa kufanya Fujo, Vurugu na Kugombe Vikombe vya Chai na Chapati kama wa Yanga SC.
Abdi Banda, Mambosasa, Michael Paul, Christopher Alex Masawe, kwa viongozi ni Hasanoo, Haji Manara, Wambura, Rage, Kaburu na Aveva hao wote wameshalala Sero na wengine kufungwa kabisa, ukinitajia idadi hiyo hiyo Yanga ya wachezaji na viongozi najitoa Jf
 
Yanga na mpira wapi na wapi wew? Hawa ndy wanapiga sana marefa mara kwa mara.

Waliponusurika kuchapwa na Majimaji Songea, yule jamaa sijui Nsajigwa akaanza kupondea eti uwanja ufungiwe sababu ni mbaya.
Hapo utaona hawa watu walivyo wahovyo.

Hakuna siku niliyomdharau Shedrack Nsajigwa kama hiyo siku. Analalamika Uwanja wa Songea ni mbovu na haufai kuchezewa Ligi Kuu wakati wao Yanga kama Yanga wanafanya mazoezi kila siku hapa Dar es Salaam katika Uwanja mbovu wa Loyola Shule ambao hata huo wa Songea ulikuwa ni mzuri katika pitch. Kumbe ndiyo maana katika ile mechi ya Simba na Yanga hadi Yanga wakafungwa zile goli 5 Emanuel Gabriel Okwi alimtesa na kumdhalilisha mno Shedrack Nsajigwa mpaka kila mara bukta yake ilikuwa inamtepweta tu na vitu vikigonga na kurudi kunako. Hakuna mwaka ambao Yanga SC wamepata bahati mbaya ya kuwa na Makocha Wakuu na Wasaidizi kama sasa. Eti Lwandamina na Nsajigwa bure kabisa!
 
Mechi ya Simba na Yanga alisumbuliwa sana na Kichuya na baadae Kotei. Bado tu hujamjua Mkuu? Unaniangusha bhana! Unakuwa kama siyo mwana michezo ambaye kila mechi ya Taifa au Uhuru huwa unaingia? Haya mwisho nakufumbia huyo mchezaji ndiyo ' Kinara ' wa kuyatumia majani fulani hivi yanaitwa Bob Marley Leaves kwa sasa ndani ya hiyo Klabu.
Haya poa
 
Back
Top Bottom