Mchezaji wa Yanga SC yupo rumande kwa kumpiga Ngumi Mwandishi wa Habari


Hao wote uliowataja karibia 99.9999% ya Kesi zao zilikuwa za Kusingiziwa / Kubambikiwa na ndiyo maana baadae wakatoka na sasa tunao mitaani. Halafu huu uzi haujaja ili tuanze kuwasema Viongozi wetu Wakuu wa hivi Vilabu vyetu bali ni maalum kwa huyo Mchezaji wenu wa ' hovyo hovyo ' kwa kumpiga Ngumi Mwandishi wa Habari sawa?

Ukitaka na Mimi pia nitiririke na niserereke na madhambi yaliyoshindikana na Viongozi wako wa Yanga SC naweza vile vile na humu patakuwa hapatoshi. au unabisha nianze kufunguka hapa hapa nikianzia na huyu ' Kubwa Lao ' mwenye msumari na bati moyoni?
 
Mwinyi Kazimoto mwaka jana tu alikua na kesi kama hii au yeye hachezei Simba?

Uliona hiyo Kesi ikiendelea? Yule Demu wa Mwanaspoti / MWANANCHI ( jina nalihifadhi ) ndiyo alikuwa 'akijipendekeza ' mwenyewe kwa Faila Sufi Mwinyi Kazimoto ili ampige paipu / ambandue ila Mwinyi akawa hataki na Demu alipoona itakua aibu Kwake akaamua kumtengeneze ' zengwe ' ili kumchafua hadi baadae Watu wenye akili zao walipoingilia kati wakaona Mwinyi hakuna na Kosa na Kesi ikaishia pale pale. Wachezaji wa Yanga SC ni lazima tu watakuwa wana hasira kwani kama asubuhi tu wanagongeana Chapati na mchana wanakula Ugali wa ' mduara ' na Samaki wa mafungu watashindwa kweli kuwa na stress huku wakiwaona wenzao wa Simba SC wanakula tu Holiday Inn mara Sea Cliff mara Saphirre mara Kempisky mara Serena mara New Africa Hotel?

Sahani za Chakula za Okwi na Niyonzima thamani yake ni Chakula cha Wachezaji 28 wote wa Yanga SC kwa msimu mzima.
 
Sasa hii umeiona ikiendelea au unajua kwa nini amempiga? Hata Mwinyi alisema maneno hayo hayo ya unanifuatafuata
 
Sasa hii umeiona ikiendelea au unajua kwa nini amempiga? Hata Mwinyi alisema maneno hayo hayo ya unanifuatafuata

Nilikuwa nakuheshimu sana humu Mkuu ila baada ya leo kukujua kwamba kumbe Wewe ni mwana Yanga SC nimeshaanza kukushusha thamani. Mtu makini Kichwani, Safi na anayejitambua hata siku moja hawezi kuwa mshabiki wa Yanga SC Klabu ambayo ina ' nuksi ' tupu.
 
Hapo itakua yondani au Juma Abdul sababu kimuonekano ni watumiaji wa mmea na walivyo ni wagomvi wagomvi
 
Du haya team ya wananchi hiyo 90% ya wenye nchi hii ni Yanga ukweli mchungu na ukitaka mambo yako yaende kombo wakorofishe Yanga tu mwisho wako hauwi mzuri
 

Huyo Abdi Banda kuna Mke wa mtu kamtia mimba somewhere,,,akawa anahudumia hajui kama Mke wa mtu,,,end of the day demu kamchana laivu mtoto sio wako Nna mme wangu/////// wanawake wana mambo aisee
 
Huyo Abdi Banda kuna Mke wa mtu kamtia mimba somewhere,,,akawa anahudumia hajui kama Mke wa mtu,,,end of the day demu kamchana laivu mtoto sio wako Nna mme wangu/////// wanawake wana mambo aisee
Nadhani ndio huyo huyo alimlaza sero kwa kumtuhumu ameiba gari lake
 
Huko Moro miaka ya nyuma kocha wenu mwanamakeke alikuwa anafanya nini na wachezaji?
 
Simba nayo ni Timuu..
Wanachaga rede uwanjani..
 
kwenye BOLD hapo
 
Funguka na walishtakiwa wapi au walilala selo gani? Abdi, Masawe, Manara na Michael Paul wote walikua na kesi za wizi wa magari, Mambosasa aliiba godoro la guest, Kazimoto alipiga Mwandishi na Kaniki amefungwa kwa kubeba unga! Hamna mpya
 
Vipi Mwinyi Kazimoto kule Shinyanga mwaka ule alimfanyia nn mwandishi wa habari vile?
 
Hakuna mbumbumbu anaeweza kukujibu hili swali zaidi utapata bla bla!ukitaka kujua uwezo wa mbumbumbu fans angalia yule msemaji wao,siku zote akihojiwa lazima ataanza na Yanga hata akiulizwa ishu za club yake utamsikia aah unajua Yanga haituwezi"
 
Hongera nyingi kwa Simba SC, mabingwa wa Tanzania kwa misimu mitatu mfululizo! Yanga hawana kitu uwanjani....kazi yao kupiga waandishi tu! Wapo kama washabiki fulani wang'oa viti uwanjani!
 
Kevooo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…